mhuu...naombeni mnipokee wana st.joseph univasity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mhuu...naombeni mnipokee wana st.joseph univasity

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kinota, Aug 21, 2012.

 1. k

  kinota Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  sina la kusema niliponda sana hatimae bwaaa kulekule,tusameane sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunipa utaatibu wa stut mzima hasa hostel na mamabo ya school fees anijulishe.maana saasa kelele kimya tukaanze life la chuo
   
 2. b

  blaac Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :israel:aixee ndo ka hvyo,,,,,,,mi mwenyewe st.joseph
   
 3. M

  Martin Firmin Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  mtaweza kumuda school fees ya st.Joseph maana Tsh.2750000/= si mchezo waungwana
   
 4. n2bra

  n2bra Senior Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  karibun tujumuike na wadosi
   
 5. n2bra

  n2bra Senior Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuhusu hostel u hav to find it urself ziko nyingi zinazunguka chuo.
  Ila check it out mavazi,cöde of conduct they highly needed kuandika barua za excuse ni jambo la kawaida kwa wadosi.
  Lastly try as much as u can to practise indian english. Gud luck guyz
   
 6. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jiandae kuwa na Displine nzuri!!! kusoma kwa bidii!! otherwise shule itakushinda!!!
   
 7. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hongera kaka..naiman utakua engineer mzur sana neda kapige msuli na usisiskize maneno ya mashabiki maana hawashindwi kukukasha tamaa!!! hata kama ada ni bdefu kwani si kuna loan...kila la kheri mkuu..
   
 8. J

  JUNK MASTER Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Wakubwa hivi mkopo wa Heslb utalipa ada yote ama nyingine ni zetu maana mimi ni Kayumba home majalala, alafu gharama za Hostel tujuzane
   
 9. JOH MCHESHI

  JOH MCHESHI Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna wa Agricultural sciences and technology hukoo Songea? Au ni mimi 2 nini!
   
 10. J

  JUNK MASTER Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  sidhani
   
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Jamani hawa wahindi english yao duh mi ndo lecturer zangu hizo english haieleweki kitu ya ven badala ya when,z badala ya j
   
 12. JOH MCHESHI

  JOH MCHESHI Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da mkuu acha utani, mi nimepangwa st.joseph agricultural engineering nahisi ni songea ila sina uhakika vizuri kwa sababu sikukichagua na hawaja andika ni wapi,nisaidieni wakuu kwa sababu sijaelewa!
   
 13. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hehehehe
   
 14. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hiyo program iko st joseph ya songea kama si ya mbeya...ila kama unaipenda nenda..inapay na ni nzuri pia!!!
   
 15. JOH MCHESHI

  JOH MCHESHI Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da asante mkuu
   
 16. n2bra

  n2bra Senior Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  f badala ya p, ch badala ya k .
   
 17. n2bra

  n2bra Senior Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hiyo songea
   
 18. JOH MCHESHI

  JOH MCHESHI Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba unisaidie mkuu, ni sisi 2liochaguliwa huko ndo wa kwanza kwenye hizo kozi au kuna mwaka 2,3,4. Unaweza mjua yeyote anayesoma hukoo! Shukran sana mkuu!
   
 19. d

  deecharity JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  mkubwa ni npo cmps ya songea kuhusu hyo koz nhv. Hapa kulikua na koz moja yan computer science pekeake ila sasa hv wameleta na hyo agrculture science means nyie ndio first intec kuja kuanza hyo koz.. Karbu sn mkubwa na kiangaz hk chagua nguo ambazo hazshk vumbi.
   
 20. JOH MCHESHI

  JOH MCHESHI Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daa ahsante sana mkuu ARUSHA>> SONGEA
   
Loading...