Tcu wanalijua hili?

sobstar

Member
Aug 27, 2012
28
4
Kuna baadhi ya PROFILE zinaonyesha ADMISSIONS tofauti. Kwa mfano mimi katika program nilizochagua nimewekewa ADMITTED computer science st Joseph Songea code JS001 kwa first selection.Lakini juu insema admitted JOSIAH KIBIRA kwa program hiyo ya computer sc. Josiah Kibira hakuna computer science.Mpaka sasa jina langu halipo st joseph.

wakuu msaada nifanyeje, Registeration ya st joseph ni 19/09/2012 :A S cry:
 
Worry out ! Wasiliana na Hao tcu. Kama vipi save na hiyo page inayokuonesha kuwa umekuwa admited st.joseph kama tu ushahidi isije baadaye isionekane alaf waka kwambia ni uongo hukuchaguliwa! Ni mawazo yangu coz najua kuna watu kwa kuponda mawazo ya watu ni noma! Ni hayo 2!
 
Back
Top Bottom