Kwani ulisoma ili ukipata kazi boss wako akulipe kwa sababu una elimu kubwa au unampatia matokeo kwenye biashara yake? Me nadhani mindset za wasomi na ambao si wasomi ziko opposite na mafanikio wanayotarajia, Mshahara haupimwi kwa ukubwa wa elimu pekee, unapimwa kwa ukubwa wa matokeo(impact)...
NAFASI ZA KAZI MUHASIBU – WHITE PIT TRADERS
WHITE PIT TRADERS tunatafuta Muhasibu mwenye uzoefu wa kazi ili ajiunge na timu yetu ya biashara.
Mahitaji:
Shahada au diploma ya Uhasibu (Accounting/Finance) au shahada inayohusiana
Shahidi ya uhasibu (Professional Accounting Qualification) ni...
[emoji23][emoji23][emoji23] mfumo wa elimu hauturuhusu kupata maarifa yanayoweza kutusaidia wenyewe au hata jamii iliyotuzunguka
Primary tunapoteza mda na kuvurugwa masomo mengi hayaeleweki katoto kanasoma mambo mengi kanabeba ndoto mia ndani ya miaka 7 then
Secondary kanasoma science au art...
Yanaelezwa na kuandikwa Kama history sema akifa ndio wengi tunapata chanzo au chachu ya kuyajua mengi zaidi ukitafuta na ukitaka kuyajua yapo Sana na yanazungumzwa Sana sema tuu hata we mwenyew haujapata sababu ya kutaka kuyajua akifa maybe unaweza unapata chanzo Cha kuyajua Kama unavyoona kwa mkapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.