Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Course gani kaka ☝Java,C++,Python,Php nk
Ndio programming hiyo,hizo zote ni language.Course gani kaka ☝
mimi pia ndugu naomba niku - pmOk nakusubiri.
mimi pia ndugu naomba niku - pm
Ugumu wake uko wapi mkuu..?Cyber security ni bonge la carrier ila sio mchezo aisee!
danganya wenzioCourse za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe, hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako, Youtube, Torrent kuna tutorial na pdf kibao.
Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming, hiyo cyber haifui dafu kwa programming. Piga zako Java, Python, PHP, C++ utapiga hela mpaka utazikataa.
Kama huna kichwa hiko ni wewe,ila ukiingia Torlock kuna tutorials (Lynda na Udemy) na vitabu kibao ukiongezea na youtube kama upo serious utajua vingi.Ila si shangai inawezekana naongea na mtu asiye zoea MISULI YATIMA.danganya wenzio
danganya wenzioCourse za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe, hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako, Youtube, Torrent kuna tutorial na pdf kibao.
Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming, hiyo cyber haifui dafu kwa programming. Piga zako Java, Python, PHP, C++ utapiga hela mpaka utazikataa.
hongeraKama huna kichwa hiko ni wewe,ila ukiingia Torlock kuna tutorials (Lynda na Udemy) na vitabu kibao ukiongezea na youtube kama upo serious utajua vingi.Ila si shangai inawezekana naongea na mtu asiye zoea MISULI YATIMA.
Hata mimi Networking Cisco, Huawei na Juniper (basic) nimesoma mwemyewe na ongea kitu nilicho kifanya na hata washkaji zangu programming wamesoma wenyewe.
Hongera na wewe endelea kutokuamini sikushikii bunduki ndio uamini.danganya wenzio
hongera
hayaHongera na wewe endelea kutokuamini sikushikii bunduki ndio uamini.
mfumo wa elimu hauturuhusu kupata maarifa yanayoweza kutusaidia wenyewe au hata jamii iliyotuzungukaMkuu huo ndiyo ukweli, Tz hatuna ubunifu. Tumejaa ukiritimba. Natamani Dkt Magufuli angekuwa ndiye waziri wa Elimu nadhani angekuwa ameliona hili. Unakuta nchi kama nchi haijui idadi ya wasomi wake wanaorejea toka nje za nchi na haijui wamerejea na utalaamu gani ili utumike pahala gani kwa manufaa ya nchi. Nchi imejaa majungu majungu tu. Balozi zetu ndiyo sehemu ya kupigia per diem, hawafahamu kabisa umuhimu wa diaspora, ikitokea umeenda ubalozi wanakuona wewe ni mkimbizi. In short Dkt Magufuli hajapata viongozi mathubuti wenye maono wa kuongoza wizara ya Elimu. Huyo mdau unayemsema si yeye tu, kuna mtu nasikia alisomea mambo ya acturial nje za nchi alivyorejea alikula msoto mpaka akaamua kurudi huko alikotoka.
realisticUkweli wa Afrika ni huu.View attachment 1489526
Okhaya
Ni vitabu gan kwenye nertwork ulipiga brother unisaidieKwanza wewe mwenyewe tambua unataka nini,hii utakusaidia kufanya kitu unachokipenda sababu field za IT zina badilika sana so unachokifanya hakikisha unakipenda,labda unataka Database(MySql,Oracle),Programming(python,Java,C++,PHP,Go),Networking (Cisco,Juniper,Huawei nk),Server,Cyber,System Analysis and Design.
Ukishajipima wewe mwenyewe unachokiweza na kukipenda,sasa ingia youtube mule kuna tutorial nyingi tu,download utapata maelekezo yote au ingia torrent napo kuna tutorial nyingi download video na vitabu,baada ya hapo soma sana theory na practical,ukishajilizisha sasa unaweza kwenda level za juu ktk hiyo field.
Husiogope mwanzo mgumu,mimi networking nimeijulia baada ya kumaliza chuo.Chuo nimetoka mweupe mimi na cheti changu ila skills sina,nilisoma Network YouTube na kuna vitabu nilivisoma ndivyo vilivyonisaidia.