Mimi ni mimi, wala sifanani na yoyote, wala hatazaliwa kama mimi. Mimi ni roho (uhai) niliojificha ndani ya mwili. Ndani ya mwili kuna vitu vitatu visivyo onekana, roho, nafsi na akili. Roho ndio uhai wenyewe. Nafsi inahusika na matamanio na Akili inahusika na mamuzi. Mwili hupelekeshwa tu.