Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Kuna tukio ambalo limeshtua watu wengi huko Kondoa mkoani Dodoma, hii ni baada yakuzaliwa mtoto ambaye hana kichwa. Nimepata taarifa muda mfupi uliopita kutoka kwa source mmoja aliyepo Kondoa anasema tukio hili limetokea leo.
Picha ipo lakini kutokana na sheria za Jukwaa hili na hali ya mtoto sitaweza kuiweka mtandaoni.
Picha ipo lakini kutokana na sheria za Jukwaa hili na hali ya mtoto sitaweza kuiweka mtandaoni.