Kwaheri Lowassa, kwaheri CHADEMA...

Kwaheri Lowassa, kwaheri CHADEMA...

Nilishangaa baada ya sentensi ya kwanza alivyoanza kuongea Lowassa misururu ya watu ilianza kuondoka kama vile aliyekuwa anaongea aliwatukana, kama kweli Lowassa ana akiri na anasoma alama basi aangalie hilo tukio na ajielewe watu wanamwonaje

Halafu tukiwaambia ukweli wanakimbilia kujitoa akili.
 
Mawazo ya nyinyiem kwa mtogole wakidhani nyinyiem bado ipo kumbe imesha potea....people zzz....Ukawa kama kawa tutaendelea kupeta
 
Naona umerudi kuokoa jahazi

Ndiyo Kwani Naona Kama Vile Wana CCM Wenzangu MNAONEWA, KUDHALILISHWA Na Hata KUNYANYASIKA. Sasa KAMANDA Wenu KIBOKO Ya Wana CHADEMA + UKAWA Wote Humu Jamvini Nimerudi Na Nipo Gado. Namalizia Tu KUKUSANYA Taarifa NYETI Na Ambazo Nina UHAKIKA Kuwa Hata Viongozi WAANDAMIZI Wote Wa CHADEMA + UKAWA Hawatajua Nani KANIPA Na Nimetumia UJUZI Na MBINU Gani Kuzipata. Labda Mwenyezi Mungu ANICHUKUE Leo Ila Kama Mambo YAKIENDA VIZURI Na Kwakuwa Lowassa Jana Kawaambia " Wapumbavu Na Malofa " Wasome Hotuba Yake Ya Dakika 11 Ktk Mitandao Hivyo Na Mimi Nawasihi Msikae Mbali Kwani Muda Wowote NAKWENDA KUPAKUA KITU AMBACHO NINA UHAKIKA Nchi ITATIKISIKA Ila Kwa Wana CCM Wote Tanzania Na Kwingineko WATAFURAHI Mno Na Sana Tu. Nimeamua Kufanya Hivi Kwa NYODO Za Jana Za Richard Tambwe Hiza Na Mkiweza Mmwambie Tu Kuwa Akae Tayari Tayari Kwani Nitapiga Kote Kote Nikimaanisha Kwa Lowassa, Sumaye Na Hiza ILA Picha Langu Kamili Nitalinogesha Kwa Lowassa Na Hiza. Huyo Dogo Hiza TUMEMLEA Na KUMFUNDISHA KAZI Wenyewe Leo ANAJIFANYA KUTUGEUKA. Na Akicheza Tutaitoa Hadi Ile Video Yake Ya Alivyofanyiwa YASIYOELEZEKA Hapa Jamvini Pale Mikocheni Hoteli Iliyojirani Kabisa Na Ulipokuwa Ubalozi Wa Zamani Wa Rwanda. Kwa Kuanzia Tu Naomba Niishie Hapa ILA Richard Tambwe Hiza Asione Aibu au Taabu Kunitafuta Ili Tuyamalize Na Anajua Ni Wapi Atanipata Kwani Urafiki Wangu Na Yeye Umeisha Rasmi Jana Tu Alipojiunga Na MAPOPOMA WALIOTUKUKA.
 
Huyu hatutesi tunamuonea huruma. Muache kuwasingizia watanzania. Tunataka mabadiliko lakini siyo haya ya kiini macho. Matapishi yenu lambeni wenyewe.

acha kutuhadaaa, tangu lini wewe na wanaokutumia mkataka mabadiliko? hiki sasa ndio kiini macho. mabadiliko nje ya CCM yanawezekana
 
Tatizo lenu ni nini hasa? It was very short but clear. Alisemea elimu, kilimo, afya, michezo, ajira na kuendelea etc. Sasa watu nadhani mushakariri kina Magufuli wanakuja kurap. Ilani ya cdm iko safi, ila tu humu kuna watu na viatu. Usikivu ni below zero
 
mungu akujalie neema kwa kuyaona haya wala usitishwe na matusi ya wasiojitambua kama nyumbu,mbowe ataona malipo ya usaliti hiyo 25 october:high5:
 
Ndiyo Kwani Naona Kama Vile Wana CCM Wenzangu MNAONEWA, KUDHALILISHWA Na Hata KUNYANYASIKA. Sasa KAMANDA Wenu KIBOKO Ya Wana CHADEMA + UKAWA Wote Humu Jamvini Nimerudi Na Nipo Gado. Namalizia Tu KUKUSANYA Taarifa NYETI Na Ambazo Nina UHAKIKA Kuwa Hata Viongozi WAANDAMIZI Wote Wa CHADEMA + UKAWA Hawatajua Nani KANIPA Na Nimetumia UJUZI Na MBINU Gani Kuzipata. Labda Mwenyezi Mungu ANICHUKUE Leo Ila Kama Mambo YAKIENDA VIZURI Na Kwakuwa Lowassa Jana Kawaambia " Wapumbavu Na Malofa " Wasome Hotuba Yake Ya Dakika 11 Ktk Mitandao Hivyo Na Mimi Nawasihi Msikae Mbali Kwani Muda Wowote NAKWENDA KUPAKUA KITU AMBACHO NINA UHAKIKA Nchi ITATIKISIKA Ila Kwa Wana CCM Wote Tanzania Na Kwingineko WATAFURAHI Mno Na Sana Tu. Nimeamua Kufanya Hivi Kwa NYODO Za Jana Za Richard Tambwe Hiza Na Mkiweza Mmwambie Tu Kuwa Akae Tayari Tayari Kwani Nitapiga Kote Kote Nikimaanisha Kwa Lowassa, Sumaye Na Hiza ILA Picha Langu Kamili Nitalinogesha Kwa Lowassa Na Hiza. Huyo Dogo Hiza TUMEMLEA Na KUMFUNDISHA KAZI Wenyewe Leo ANAJIFANYA KUTUGEUKA. Na Akicheza Tutaitoa Hadi Ile Video Yake Ya Alivyofanyiwa YASIYOELEZEKA Hapa Jamvini Pale Mikocheni Hoteli Iliyojirani Kabisa Na Ulipokuwa Ubalozi Wa Zamani Wa Rwanda. Kwa Kuanzia Tu Naomba Niishie Hapa ILA Richard Tambwe Hiza Asione Aibu au Taabu Kunitafuta Ili Tuyamalize Na Anajua Ni Wapi Atanipata Kwani Urafiki Wangu Na Yeye Umeisha Rasmi Jana Tu Alipojiunga Na MAPOPOMA WALIOTUKUKA.

ahaaaaaaaaaaa loh wewe mtoto ulikua lini mpaka unamlea hazi??? Hata miaka 30 huna? Hata kazi huna? Ni graduate kama wengine? Siasa umeikuta jf! Anyway ebu niishie hapa maana kweli dogo unatishia nyauuu.

Kwanza wakupe kazi ukue kue kidogo ukomae kiakiri ndo uje kwenye hii vita maana yo too young to this mdogo wangu.

Ahaaaaaaa eti hazi anajua pa kukutafta? Wap? Pm???? Unajifunza mikwara mgogo wangu
 
Tatizo lenu ni nini hasa? It was very short but clear. Alisemea elimu, kilimo, afya, michezo, ajira na kuendelea etc. Sasa watu nadhani mushakariri kina Magufuli wanakuja kurap. Ilani ya cdm iko safi, ila tu humu kuna watu na viatu. Usikivu ni below zero

Clear in which Sense?? Hajasema ataboreshaje afya, hajasema atatoaje elimu bure halafu bado unasema clear!!
 
Kwani bilali, babu seya, mashekh sio mabadiliko..!? wacha kuwa mjinga kiasi jicho, usifikiri kuandika upuuzi ndio utatubadilisha tusimpigie kura, kura tutampa na urais atauchukua mapemaaaa..!!
 
Wewe ni zaidi ya kilaza.
 
Yaani watu wanaacha kazi zao na kwenda kujazana pale jangwani,wengine walikesha usku mmja kabla ya siku pale jangwani,wengine waliwahi majumbani kufungulia tv zao alafu unaongea kwa dakika kumi na sehemu kubwa ya ulichoongea ni vijembe then unatuambia sisi wote ni wasomi tukasome ilani yako mtandaoni....dah inasikitisha
 
Back
Top Bottom