Recent content by jogger

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hili ni dili nimepata au ni utapeli?

    Kuna jamaa aliyapeliwa hivyo hivyo...watakuambia utume pesa. Sijui mambo ya sample. Mambo ya huhonga watu. Yaan ni matapeli. Mwisho wa siku unajikuta umebaki na vinyago vyako na hela wamechukua. Achana nao.
  2. J

    JamiiForums Tanzania iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    So hizo bei ulizoweka hapo ni za refurbished au original?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Usipoaangalia utalamba matapishi

    Mkuu yeye anasema ni shetani. Sasa mkuu ukimrudisha ni kwamba shetani amekufa au? Sasa shetani si bado yupo?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Usipoaangalia utalamba matapishi

    ki ukweli nalikivuta hisia umbo lake na jinsi nilivyo mwenyewe naona nimrudishe.Ila sioni kama ni wife material
  5. J

    JamiiForums Tanzania Usipoaangalia utalamba matapishi

    Mkuu hawa watu ukiwarudisha lazma warudie. Kum jamaa hapa kazini alichepuka na mke wa mtu mume kakuta sms, sasa mwanamke anamwambia mchepuko wake, "subiri jamaa hasira zake zitaisha", mambi kama haya ndo yananipa mashaka
  6. J

    JamiiForums Tanzania Usipoaangalia utalamba matapishi

    Naandika haya ikiwa nina ushawishi wa kurudiana na mwanake aliyenisaliti kwa mwanaume mwingine. Muda si mrefu uliyopita niliomba ushauri kuhusu mwanamke aliyesilati na hatimaye kuweka ngumu kuondoka nyumbani..nashukuru kwa ushauri mlionishauri hayimaye niliweza kumrudisha kwao japo simu na sms...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya kuuza duka au mgahawa

    Ipo ya kuangalia mtoto. Mshahara 50,000
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi kichwa kupasuka kwa mawazo

    Ila kama huyo mwanamke anakupenda kweli atakusubiri mpaka malengo yako yatimie. Jaribu kuongea naye.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi kichwa kupasuka kwa mawazo

    Mkuu kama wamekuambia peleka barua. Wewe peleka tu. Barua sio ndoa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi kichwa kupasuka kwa mawazo

    Unataka watu wa kubebea barua au?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia ya kusingizia misuli itawauma na kushindwa kulala ili mpewe tendo la ndoa

    Itakuwa umetumiwa sana maana mada zako ni za experience kuhusu wanaume
  12. J

    JamiiForums Tanzania Watu 17 Wamejeruhiwa Baada ya boti ya MV Julius Kuzama Katika Ziwa Victoria

    Hivi boto ikizama kunakuwa na majeruhi??
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kigwangala: Mwekezaji amejaribu kunihonga, amejigamba alimhonga Waziri aliyenitangulia

    Siku hizi wanaelewa kuwa hawatakuwa mawaziri milele...Eti "Mpaka rais atakavyoamua kivingine"..
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekataa kuenda kwao baada ya kunisaliti

    Nashukuruni wote kwa ushauri. Nimeona niweka message ambazo zimethibitisha alichepuka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom