Msaada wa kisheria: Nilimpa mimba mke wa mtu, mtoto amefanana sana na mimi, nitampataje?

Mkuu kamarah,
Hii kesi yako ni nzito mno tena sio ya kuichukulia nyepesi namna hiyo.

Kwanza, kaa ongea na mke wa mtu na kuweka makubaliano ya kwamba mtoto akifikia umri wa miaka 15 umchukue awe wa kwako.

pili, gharama zote anza kulipia kwa ajili ya kumtunza mwanao ili hali huyo mwanamke anatambua.

tatu, jaribu kuongea na mama mkwe na mke wa mtu na kupanga mikakati kwa usiri mzito wa hali ya juu ya kwamba mtamtunza huyu mtoto na kumlea katika mazingira bora bila yeyote kufahamu kitu.

nne, mshauri huyo dada ambaye ni mke wa mtu kuwa azae na mumewe angalau watoto 5 au 6 ili baadaye akija kugundua mtoto si wake asiumie sana moyoni bali ajipe moyo kwa kuendelea kuwa nawe walio salia.....
 
Jibu ni HAPANA. Hutathubutu hata kuripoti polisi hata kama ungemuona akiondoka nayo kwani huwezi jua ka ndo mwenye nalo. Kifupi, Huyu bwana ajinyamazie ila awe akipitia mitaa hiyo mara kwa mara. Ajifanye rafiki wa siku nyingi kwao. Ipo siku, kitanuka tu.
Nimeona wengi wakirudishwa kwao wakiwa weshabalehe. Chochote atakachotoa pale kiwe ni kwa sababu yeye ni rafiki wa hiyo familia.
Ahsante sana mkuu kwa kunifumbua macho
 
Shukrani mkuu, nitafanyia kazi ushauri wako.... Ubarikiwe sana
 
Kibongo bongo utabaki kuwa biological father tu, the husband will automatically be considered as a father of the child na atakuwa na haki zote kwa mtoto
 
Jibu ni HAPANA. Hutathubutu hata kuripoti polisi hata kama ungemuona akiondoka nayo kwani huwezi jua ka ndo mwenye nalo. Kifupi, Huyu bwana ajinyamazie ila awe akipitia mitaa hiyo mara kwa mara. Ajifanye rafiki wa siku nyingi kwao. Ipo siku, kitanuka tu.
Nimeona wengi wakirudishwa kwao wakiwa weshabalehe. Chochote atakachotoa pale kiwe ni kwa sababu yeye ni rafiki wa hiyo familia.
Hakika iliyo kuu.
 
Aisee!! Dunia ina mengi sana! Hivi mwanamke hadi unatoka kwenda kulala na mwanaume mwingine,kwamba mumeo hakutoshi??! Navaa viatu vya huyo mumewe anavyolea huyo mtoto kwa mapenzi makubwa akijua ni wake huku mkewe akiwa anamnn'gong'a kisogo !

Tatizo gemu za nje zinakuaga tamu. Ndio turidi kulekule. Mwanaume usimzoee mkeo, piga game kama mlipokuwa washikaji
 
Heee kumbe wanaume hampendi michepuko hivi?
Naona id za kiume zikilaani vikali tukio hilo.
Mmesahau wengi wenu story za michepuko yenu ni kama mnaongea vitu vya kawaida tu.

Ntatoa ushauri comment ijayo
 
Km ukp tayari kukutana na Muumba wako karibuni nenda kadai mtoto coz maji ushayavulia nguo.
Then jamaa atamuacha mkewe wewe umuoe mlee huyo mtoto wenu pamoja.
 
Hii ni ngume kumeza aisee,

Kama ndo mke wangu sijui ntakufanya nini,

Kwa sababu kila nitakachokufanya kitaonekana kama msamaha kwangu,

Punguzeni hayao mambo mtu akishaolewa mkaushie tembea na vibinti kadri uwezavyo
 
Back
Top Bottom