Recent content by Joenh

  1. Joenh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

    Aiseee.
  2. Joenh

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Kabla ya hapo africa ndo lilikua bara lenye elimu ya juuu . Pythagoruous na pilato wote wamesoma africa .
  3. Joenh

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Hapana . Misri iliyokuwa na lugha yake na elimu yake ya juu kwa wakati huo hasa wakati wa farao anayesemwa kwenye biblia kuwatumikisha waisraeli walikua waaafrica watu weusi . Waarabu walikuja misri baada ya vita ya roman empire kuivamia misri na kushindwa . Kitabu cha stolen legacy of africa...
  4. Joenh

    JamiiForums Tanzania Tanzania na huko Zambia wananchi bado wanasumbuliwa na ugonjwa unaotokana na uchafu

    Ni jambo la kuhuzunisha na la aibu kuona kwa karne hii ambayo maendeleo ya elimu na teknolojia yamekua kwa kiasi kikubwa sana. Lakini bado nchi kama yetu Tanzania na huko Zambia wananchi bado wanasumbuliwa na ugonjwa unaotokana na uchafu. Usafi ni ishara mojawapo ya ustarabu wa mwanadamu...
  5. Joenh

    JamiiForums Tanzania naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    Subiri watalaam watakuja
  6. Joenh

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Examine your leadership status

    Great
  7. Joenh

    JamiiForums Tanzania Mliojenga shikeni Maua yenu!

    [emoji23][emoji23]
  8. Joenh

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Shoti ya Umeme. Nilichokiona Sitaki ufundi tena

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Polee sana fundi maiko
  9. Joenh

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    [emoji1474]
  10. Joenh

    JamiiForums Tanzania Huduma ya choo kituo cha daladala Mbezi Mwisho ni mbovu sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Joenh

    JamiiForums Tanzania Huduma ya choo kituo cha daladala Mbezi Mwisho ni mbovu sana

    Hii hapa nakubaliana na wewe. Kuna kipindi katika kuzurura zurura nilibahatika kufika katika jiji la helsiniki. Ninachoweza kusema wale majamaa wana ustaraabu wa kiwango cha juu sana. Kuanzia kwenye usafiri wa umma hadi kwenye matumizi ya huduma kijamii zingine kama washrooms sehemu za...
  12. Joenh

    JamiiForums Tanzania Huduma ya choo kituo cha daladala Mbezi Mwisho ni mbovu sana

    Nadhani itakuwepo maana naona sehemu zingine wanafanya watu binafsi sehemu za stendi hizi ndogo ndogo za daladala.
  13. Joenh

    JamiiForums Tanzania Huduma ya choo kituo cha daladala Mbezi Mwisho ni mbovu sana

    Asante kwa ushauri wako. Next time nitafanyia kazi mkuu.
  14. Joenh

    JamiiForums Tanzania Huduma ya choo kituo cha daladala Mbezi Mwisho ni mbovu sana

    Umesema udsm nilienda hapo juzi maeneo ya coet washrooms ni chafu sana hapa ni chuo kikuu au shule ya msingi ? . Hospitali ya taifa muhimbili washrooms ni chafu sana . Kwa kweli uchafu kwa huduma za washrooms nchini ni janga kwa taifa. Nini kifanyake maana hii hali inapelekea maambukizi ya...
Back
Top Bottom