Recent content by JoemTheDr

  1. J

    GE2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

    Sasa basi hakuna haja yq kushinikiza mtu amchague mtu asiyemtaka
  2. J

    GE2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

    daah , mhurumieni LISU, Bado hajapona vizuri, siunamwona anaanguka kwenye kampeni. Mwambieni mapemaa apumzike tatizo lisiongezeke
  3. J

    GE2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

    Washabiki wavyama wasio na kadi ya mpiga kura. Simlisusia Bajet ya uchaguzi, hiv mtakuwa mlijiandikisha kwel kwenye daftar LA kudum
  4. J

    Usilinganishe mikutano ya nyomi ya Lowassa na nyomi ya Lissu

    Wasanii nisehemu ya kampeni. Jiulize kwann kwa lisu hawaendi? Basi ulitaka wasanii wakatazwe kumwimbia magufuli? Mbona walifanya HV yo kabla yakampen? Fumbua macho uone ilikuwaje Kala ya kampen
  5. J

    GE2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

    Narudia tena, Mimi na mpinga LISU, nantamchagua MAGUFULI, zile sababu zangu tano tu! ,Zinatosha Sana kumpinga LISU 100%. Nasubiri tarehe tu si kadi niyakwangu?Na moyo wakwangu?! Tuombe uhai kwa Mwenyezi Mung u.
  6. J

    GE2020 Tundu Lissu apumzike kampeni kidogo, anaonekana kuchoka

    Mungu yupi wakumbariki?aliyliyeMpinga mtu aliyemtanguliza MUNGU kpnd cha COVID19. Me nasema MUNGU Msamehe Huyu LISU maana hajui alitendalo, umekwakoa na Risasi sta bado hakupi wee nafasi nafsinimwake. Mwenyez mrehemu MTU huyu
  7. J

    Usilinganishe mikutano ya nyomi ya Lowassa na nyomi ya Lissu

    Nami ntakuuliza swali, HV unaweza kumchagua mweza kwa uzingtia ahadi anazokupa zakuvutia na kukupendeza ? HV unatakiwa kuzingatia nini vya Mhm ktk nyanja hyo ya Muhimu ? Maana najuwa wengi wanapewa ahadi wanakubali lkn banda ya ndoa wiki haiishi vilio na kuomba taraka . ukijibu ntajibu
  8. J

    Usilinganishe mikutano ya nyomi ya Lowassa na nyomi ya Lissu

    Nimefulahi kwa ulivyotiririka point zote hzo 9 badala ya tano kuu , nkakumbuka wanafunzi wengi wasiomakini ktk mtihani wanaambiwa sehemu sehebu B Jibu moja tu! Chaajabu wapo wanayojibu yotee. 1. Mpinga MUNGU na anayemtegemea MUNGU. Yaani mpaka Leo anapigia nyomi kampeni hasemi Kuwa...
  9. J

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Hbr wadau wasiasa. Kama Uzi unavyojieleza, mimi nimepania kuchagua MAGU nasubiri tarehe tu! Sababu ninazo zakisiasa na kijamii kwanini nimchague MAGUFULI. lkn swali langu hv wanataka chagua LISU wanasababugani.?
  10. J

    Usilinganishe mikutano ya nyomi ya Lowassa na nyomi ya Lissu

    Haya nipe Sababu tano kuu tu. Kwanini utampigia LISU kura. Naminitakupa kwanini sintampigia LISU afu tutafakar point nakuzchambua
  11. J

    GE2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    Mtu anasemaUDSM nijalala, hapo alipo unakuta alifight kupata admission hap akakosa na istoshe anashinikiza ndugu na jaamaa Waombe admission hpo. Tusiwe washika dau jmn
  12. J

    Tabia zitakazo kufanya uwe Mwenye furaha maishani mwako

    Yeye YESU AMEBEBA VYOTE HIVYO, Moyo wa mwadam kufanya hayo yote ningum Sana na haiwezekan kufit kwenye vngere vyote vilvyo orodheshwa na vingine havjaorodheshwa. So kuwa na Huyu YESU unaweza kufit zaidi ya ha yo yooote
  13. J

    HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

    Nikiwa sina dhima ya uchochezi jambo hli nililoliona na kulisikia, kuwa imepangwa wanafunzi wa chuo kikuu X na wengineo watafanya mgomo baridi wa kutoingia madarasani wiki nzima kuanzia wiki ijayo,chanzo kilichoelezwa ni kupunguziwa kiasi cha stahikizi kwa wanufaika wa bodi ya mikopo HESLB...
Back
Top Bottom