HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

Kwani kwenye kurudisha si mtarudisha kama mlivopokea au mtahesabiwa mmepokea 500k?
 
Ungeanza wewe kwa kuwa unapeleka kwenye group lenu ya VICOBA mada zenu, na wenzako za siasa kuwa wanapeleka kwenye magroup yao ya vyama

Tuliza mihemko mdogo wangu,usijaribu kupanic vitu vidogo,mbona upo speed kwenye mteremko.
 
Habari wakuu!

Hakuna kitu kinaniuma mpaka sasa Kama kukatwa pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa chuo kikuu. Sana sana maswali yanaumiza kichwa changu Ni Kama ifuatavyo:

1. Kwanini vijana wa siku hizi Ni waoga wa kudai haki zetu

2. Madeni tuliyonayo chuoni tutamaliza vipi?

3. Kwanini Serikali itunyanyase namna hii

4. Kuna haja gani ya kuishi katika nchi yenye mateso Kama hii. Si bora ata nipigwe risasi nife?

5. Kwanini niendelee kuteseka chuoni wakati hakuna ajira baada ya kumaliza?

6. Nikiacha chuo bila kuaga nini kitatokea baada ya miezi 24.

Vijana tuache Uoga Tuingie Barabarani tudai pesa zetu. Tusitishwe na mtu
 
Habari wakuu!

Hakuna kitu kinaniuma mpaka sasa Kama kukatwa pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa chuo kikuu. Sana sana maswali yanaumiza kichwa changu Ni Kama ifuatavyo:
1. Kwanini vijana wa siku hizi Ni waoga wa kudai haki zetu..
Kama kweli unawaza hivyo Basi badala ya kusubiri upigwe risasi, we nenda Benji ukajifanye unapora less yao, usituingizie frustration zako sisi tunaendelea kupiga shule! Au nenda kaishi Somalia!
 
Habari wakuu!

Hakuna kitu kinaniuma mpaka sasa Kama kukatwa pesa ya kujikimu kwa wanafunzi wa chuo kikuu. Sana sana maswali yanaumiza kichwa changu Ni Kama ifuatavyo:
1. Kwanini vijana wa siku hizi Ni waoga wa kudai haki zetu
2. Madeni tuliyonayo chuoni tutamaliza vipi?...
Unataka tuandamane?
 
Kama kweli unawaza hivyo Basi badala ya kusubiri upigwe risasi, we nenda Benji ukajifanye unapora less yao, usituingizie frustration zako sisi tunaendelea kupiga shule! Au nenda kaishi Somalia!
Wewe hujui maumivu tunayoyapa wewe
 
Duhh hili swala linatesa sana wale wanafunz wa hali za chini

Ninapoishi yupo kijana mdog yupo mwaka wa pil majuz tu katoka kufiwa na mzazi anae mlipia ada na kumsaidia akikwama sasa hili limekuja naona dogo amepoteana kabisa nimeongea nae muda mfupi nimegundua alipanga boom likija alipe ada asilimia 90 ya boom hilo na bado deni halitaisha na bado hajakula na kujikimu kwa mambo mengine ukizingatia wametolewa hostel amepanga mtaan duhhh
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nikiwa sina dhima ya uchochezi jambo hli nililoliona na kulisikia, kuwa imepangwa wanafunzi wa chuo kikuu X na wengineo watafanya mgomo baridi wa kutoingia madarasani wiki nzima kuanzia wiki ijayo,chanzo kilichoelezwa ni kupunguziwa kiasi cha stahikizi kwa wanufaika wa bodi ya mikopo HESLB.
Hivyo ningeshauri HESLB na taasisi nyingine zinazo husika ziangzlie kwa jicho LA kitafiti na kiuungwana ili taharuki zisitokee .
*nawasilisha
 
Back
Top Bottom