Usilinganishe mikutano ya nyomi ya Lowassa na nyomi ya Lissu

Kiukweli lusu ana nafas kubwa kuahinda kiti hiki ila ccm ineisha aamua liwalo na liwe kama kumwaga dam ipo tiyar kumwaga, fuatilia mchakato mzima unavoenda ccm imetumia ubabe mwaingi sana ila bado hali ni tete. Mpaka msgufuli kaanza kuweweseka kabusa maneno anayoyaobgea nikama kashakata tamaa, yaan kiufupi magu nimweupe kwenye siasa lisu ni mwanasiasa na ni mpinzani damu acha vilowasa ambavyo viliegeshwa tu kuharibu chama. ..tukutane 28 hakika hasira zangu nitazimalizia hapo. Hivi anatisha watu eti hatashinda tunasema heri kuweka kwenye kiriba kinachovuja maana kipya kimejaa shombo.
 
Ukizungumzia waliofilisiwa ni wachache kuliko walionufaika na uwepo wa magufuli kuna watu wengi kwa sasa wamerudiahiwa viwanja vyao Kwa uwepo wa magu pia kuna watu wameacha kudhurumiwa kuna watu hawatoi rushwa nena wakukima wamefaidka kwa waliokuwa wanauza mazao kupitia vyama vya msingi wanjua walivyokuwa wanapigwa hela zao kwa sasa hayapo tena angali kati ya wafanya biashara na qakulima wepi ni wengi

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Kama ni hivo kinachomfanya aweweseke ni kitu gani angekua katulia ila mfuatilie uone anatia huruma jaman
 
Ukizungumzia waliofilisiwa ni wachache kuliko walionufaika na uwepo wa magufuli kuna watu wengi kwa sasa wamerudiahiwa viwanja vyao Kwa uwepo wa magu pia kuna watu wameacha kudhurumiwa kuna watu hawatoi rushwa nena wakukima wamefaidka kwa waliokuwa wanauza mazao kupitia vyama vya msingi wanjua walivyokuwa wanapigwa hela zao kwa sasa hayapo tena angali kati ya wafanya biashara na qakulima wepi ni wengi

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
kwa sasa ni ukweli kuwa watu wameacha kudhulumiwa na wenzao ila kwa sasa wanadhulumiwa na rais Kwa kiasi kikubwa kuliko zamani, anawakamata anawasingizia makosa anawaseka ndani Halafu anawaambia toa pesa nikuachie mamilioni kwa mamilioni, anawabomolea nyumba zao pasipo fidia, anawafukuza Kazi pasipo fidia, anawauwa pasipo polis kuchukua hatua, anawawekea sheria kuwa watachukua mafao yao wakifikisha miaka 60 ,anaondoa ile hali iliyokuwepo Ya kuajiriwa moja Kwa moja, ana watimua Kazi wakifanya maamuz pasipo kumshirikisha na anawapora hela zao kupitia utitiri wa kodi aliouweka na kusababisha biashara kufungwa

Mkuu niongeze volume? Mimi nimeongea Yale tu yanayoonekana hadharani ambayo hutayapinga, heli zamani kulikuwa ukikosewa na serikali ulikuwa unaenda mahakamani unapambana mwisho utapata haki yako kuliko Leo hata Mahakama zinauliza Kwa huyo magufuli mzee tuamueje, bunge hivyo hivyo, Mkuu huyu ntu kaleta Giza nene saaaaana
 
Ukizungumzia waliofilisiwa ni wachache kuliko walionufaika na uwepo wa magufuli kuna watu wengi kwa sasa wamerudiahiwa viwanja vyao Kwa uwepo wa magu pia kuna watu wameacha kudhurumiwa kuna watu hawatoi rushwa nena wakukima wamefaidka kwa waliokuwa wanauza mazao kupitia vyama vya msingi wanjua walivyokuwa wanapigwa hela zao kwa sasa hayapo tena angali kati ya wafanya biashara na qakulima wepi ni wengi

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Halafu nadhani wewe hauko Tanzania, ungekuwa Tanzania hungeongelea wakulima na wafanyabiashara, Au hujui kuwa watu wanaolima Pamba wanataka kuacha kulima pamba kutokana namadhila yaliyoletwa na serikali hiii? Au hujui kuwa magufuli aliwapora wakulima wa Korosho Korosho zao? Au haujui unaongeleaje swala la wakulima walioteseka mateso makubwa kipindi hiki chote cha magufuli? Unaongeleaje wafanyabiashara walioteswa akina manji amefunga biashara zake huko mikoani walifunga mabanda kila kona?
 
Wakuu, kuna watu nimeona wakisema kuwa lowassa alijaza watu wengi kuzid lisu Lakini bado Ccm ikashinda, watu Hawa nikama vile wamekosa uchambuzi na uelewa wa kitaalam labda nikuelekezeni

Nikweli kuwa Lowassa alijaza watu Sana kuliko lisu na kuliko Magufuli na baado CCM ikashindwa, ila Faham kuwa kipindi cha kampeni Ya 2015 na kipindi cha kampeni 2020 kuna utofauti Mkubwa Sana Mwaka 2015 watu walikuwa friendly kiupinzani, watu walikuwa wanachagua Kwa mapenzi wanampenda Nani ndio wanachagua Lakini Faham kuwa kipindi hiki watu wanaenda kuchagua Kwa hasira, hasira za watanzania zitatumika kipindi hiki katika kuchagua tofauti na zamani.

Watu wameteswa, watu wameumizwa, watu wameporwa Mali zao, wakulima wameporwa Mazao yao, wafanyabiashara wamefilisiwa Kwa hila, wafanyakazi wameteswa na kunyimwa haki Zao Kwa ubabe, vijana waliokuwa wanaajiriwa moja Kwa moja walizuiwa kuajiriwa Kwa ubabe, watu wameuwawa, watu wameswekwa magerezani, vikundi vya kigaidi Kama wasiojulikana vilianzishwa kuteka watu, watu wamefungwa Kwa hila, watu wamezuiwa kuwa pesa kila anaepata hela anafuatiliwa, mfano magufuli juzi tu akasema hela zao tutazidhibiti, kuna Siku alisema watu wataishi Kama mashetani, watu wamekufa Kwa mishtuko

Hivyo hao wote hawataenda kupiga kura Kwa Upendo Au Kwa kufuata mkumbo, watapiga kura zao Kwa hasira kubwa, hivyo uliokuwa unawaona Kwa lowasa waligeuka wakapiga kura Kwa magufuli Kwa sababu huko Nyuma wengi Sana walimpenda magufuli kwa sababu hawakujua tabia yake, wengi wao walikuwa na lowassa toka Mwaka 2012 hivyo waliingia kimkumbo Lakini mwishoni karibia na Uchaguzi walimuacha, wasukuma wengi Sana walimchagua magufuli Kwa kigezo cha ukabila pasipo kujua tabia yake kitu ambacho Kwa sasahivi wamegawanyika, wafanyakazi walimchagua mwishoni kutokana na kuwa hawakuwahi kupata madhira Ya haki zao kupokonywa, vijana wengi walimuunga mkono mwishoni Kwa sababu ya ahadi Ya viwanda wakihisi kuwa watapata ajira nyingi na akina mama Vijijini walimpa kura Kwa sababu Ya 50,000,000 kila kijiji, hawa wote walibadilila mwishoni Kabisa muda wa kukaribia kupiga kura na haya pia yalichangiwa na Yule Katibu Mkuu wa chadema, na lipumba kuwageuka wenzao,na akina nchimbi na mama Sofia Simba kubadili maamuzi ya kumuunga lowassa mkono, hivyo kulikuwa na mabadiliko Ya wapiga kura kwenye sanduku yaliyosababishwa Ma mazingira Ya kipindi kile kuwa Hakuna madhara yaliyokuwa yanawatokea wananchi toka Kwa serikali Kama Kwa sasahivi, Kwan sasahivi watu wanahasira Hakuna wa kubadilisha maamuzi,

Pia swala la mikutano Ya kipindi kile ni tofauti na mikutano Ya kipindi hiki, mikutano Ya lisu asilimia tisini wanaoenda watampigia kura, Lakini Kwa magufuli wanaoenda hawawez fika asilimia hamsini watakaompa kura no, Kwan sababu wengi wanaenda Kwa kulazimishwa, kutishwa kufukuzwa Kazi, kutishwa kufukuzwa uwaanachama, na pia kujazwa na watu toka wilaya zooote za Mkoa husika tofauti na lisu ambae anapata watu Wa eneo hilo hilo, pia Faham kuwa magufuli wanaccm karibu asilimia 30 hawatampigia kura wakiwemo makada mbali mbali

Najua wapo watakaopinga Hapa Lakini naomba wakipinga waje na hoja
Haya nipe Sababu tano kuu tu. Kwanini utampigia LISU kura. Naminitakupa kwanini sintampigia LISU afu tutafakar point nakuzchambua
 
Moja -Lisu atamaliza kabisa kikundi hiki cha kiugaidi kinachojiita, watu wasiojulikana hiki kikundi ni zaid ya alshabab, kimeleta hofu kubwa kwa muda wa miaka tano sasa

Pili -Lisu atarudisha mshikamano Upendo amani na ataondoa ukabila ambao Kwa sasahivi umekuwa Mkubwa mno had kufikia watu kuanzisha vibeberushi vya kikabila na kuungwa na serikali ili kuhamasisha wasukuma kuunga mkono Msukuma mwenzie

Tatu -Lisu atarudisha utaratibu wa zamani wa uliokuwa ukatumika Kwa vijana wetu wa kada Ya ualimu na Afya kupata ajira kila wanapomaliza vyuo

Nne -Lisu atarudisha uhuru wa kujieleza na kukosoa na kuacha vyombo vya habari kufanya Kazi zao Kama ilivyokuwa zamani miaka Yote tangu tupate uhuru

Tano -Lisu atarudisha utawala wa sheria Kama ilivyokuwa zamani, bunge litajitegemea Mahakama itajitegemea na vyama vya siasa na taasis za kijamiii zitafanya Kazi zao Kama sheria inavyowaruhusu hatapiga marukufu watu kufanya hivyo

Sita -Chama Changu cha Ccm kitakuwa huru kuchagua, kuomba na kuchaguliwa tofauti na sasa mwenye maamlaka Ya Nani agombeee na agombee wapi ni magufuli tu Kama alivyosema akiwa singida kuwa yeye ndio aliepanga mwigulu agombeee wapi na mkumbo agombee wapi Ubungo,

Saba -wafanyakazi watapata stahiki zao za nyongeza Ya mshahara Kama sheria inavyosema kila Mwaka kuwa waongezwe mshahara na wapandishwe madaraja

Nane -Wakulima watauza mazao yao pasipo kuporwa Kama anavyofanya Kwa sasa magufuli

Tisa -Lisu ataondoa ile sheria Ya kuzuia mfanyakazi kuchukua mafao yake inayomtaka kuchukua mafao yake baada Ya kufikisha miaka sitini, kumbuka wengi hasa sekta binafsi huacha Kazi Au kuachishwa Au kumaliza mikataba wakiwa na miaka 30

Mkuu ninazo nyiiiiiiingi ila kwa Saaasa nimekupa hizo tu za msingi ambazo hata arakaeziona hapa anazifaham zote ziko wazi hata wewe zimekukuta Au kukuathiri Au zitakuathiri tu Au Ndugu yako lazima zitamuathiri tu?

Haya karibu uje na hoja za mashiko
 
Nimefulahi kwa ulivyotiririka point zote hzo 9 badala ya tano kuu , nkakumbuka wanafunzi wengi wasiomakini ktk mtihani wanaambiwa sehemu sehebu B Jibu moja tu! Chaajabu wapo wanayojibu yotee.
1. Mpinga MUNGU na anayemtegemea MUNGU.
Yaani mpaka Leo anapigia nyomi kampeni hasemi Kuwa kuna corona jmn, wakati alikosoa vkari njia aliyo itumia RAIS JPM ktk kushughulikia corona nchini. Basi Kama ni HVO amemzarau. MUNGU na Mtumwa wake ,inaonekana angekuwa LISU ni rais basi corona inaingekuwa imepamba moto Tz.
2. Amesema Ushoga nifaragha so inaonekana itahalalishwa akiwa rais( ingawa hata kuwa). Je. unataka ushoga u we po ta?
3. Nchi ataiongoza kwa chuki na visasi. Nikweli anajua mengi Ila mtumwenye busara na hekima ya kuzungumza mbele ya watu ubaya aliofanyiwa kila nyakati nizaili shairi akiwa na hayo mamlaka hiyo haki na uhuru watu watautafuta gerezani, kuzimu, peponi. Imagine waliomwumiza ni wasiojulikana, ila ni wa TZ. SO m tz yeyote atakuwa treated kama asiyejulikana.
4. Nchi itaongozwa kwa influence za nchi Kubwa za nje...
5. Namhurumia hawezi akawa stable Kiafya , ningeshauli apumzike awe recov afya yake siuna mwona akiwa kwenye jukwaa anaanguka, daa mhurumieni apumzke maana akimaliza kampeni tatzo linaweza kuwa Kubwa .
NB. Sababu ya kwanza ni kuu kwanini sintampigia kura LISU .
 
Nimefulahi kwa ulivyotiririka point zote hzo 9 badala ya tano kuu , nkakumbuka wanafunzi wengi wasiomakini ktk mtihani wanaambiwa sehemu sehebu B Jibu moja tu! Chaajabu wapo wanayojibu yotee.
1. Mpinga MUNGU na anayemtegemea MUNGU.
Yaani mpaka Leo anapigia nyomi kampeni hasemi Kuwa kuna corona jmn, wakati alikosoa vkari njia aliyo itumia RAIS JPM ktk kushughulikia corona nchini. Basi Kama ni HVO amemzarau. MUNGU na Mtumwa wake ,inaonekana angekuwa LISU ni rais basi corona inaingekuwa imepamba moto Tz.
2. Amesema Ushoga nifaragha so inaonekana itahalalishwa akiwa rais( ingawa hata kuwa). Je. unataka ushoga u we po ta?
3. Nchi ataiongoza kwa chuki na visasi. Nikweli anajua mengi Ila mtumwenye busara na hekima ya kuzungumza mbele ya watu ubaya aliofanyiwa kila nyakati nizaili shairi akiwa na hayo mamlaka hiyo haki na uhuru watu watautafuta gerezani, kuzimu, peponi. Imagine waliomwumiza ni wasiojulikana, ila ni wa TZ. SO m tz yeyote atakuwa treated kama asiyejulikana.
4. Nchi itaongozwa kwa influence za nchi Kubwa za nje...
5. Namhurumia hawezi akawa stable Kiafya , ningeshauli apumzike awe recov afya yake siuna mwona akiwa kwenye jukwaa anaanguka, daa mhurumiani apumzke maana akimaliza kampeni tatzo linaweza kuwa Kubwa .
NB. Sababu ya kwanza kwanini sintampigia kura LISU .
Duuuh, Mimi naomba unisamehe Sana niombe kujua kuwa wewe ni kabila gani? Pili niombe kujua Elimu yako mwisho nifaham umri wako nisamehe Lakini naomba unijibu plz karibu
 
Hilo liko wazi Ccm ilikuwepo na ilikuwa na utaratibu Mzuri Tu, huyu ndio kaharibu Ccm na ukichunguza watu hawaichukiii cccm wanamchukia magufuli Kama magufuli, nakuhakikishia huyu akiondoka Ccm itabaki kukosolewa tu Kama kawaida ila sio chuki, huyu mtu kaumiza watu bhana, Kakosea Sana, kaleta ubabe, kaleta Chuki na ukabila, kaleta mateso had kwa Ccm wenyewe, Kaja na kakikundi kake kakihutu kanaitwa wasiojulikana unategemea Nani ampende ndio maanaa wabunge wa Ccm watapita ila kura maeneo hayo hawatampa magufuli kamwe anachukiwa yeye Kama yeye
Kwahiyo unataka kusema kuwa kuna wana ccm ambao watakiondoa chama chao madarakani kwa kutomchagua Magufuli na kuamua kumpigia kura Lissu ambaye ni chama pinzani na matokeo chadema kuwa chama tawala Tanzania?
 
Duuuh, Mimi naomba unisamehe Sana niombe kujua kuwa wewe ni kabila gani? Pili niombe kujua Elimu yako mwisho nifaham umri wako nisamehe Lakini naomba unijibu plz karibu
Nami ntakuuliza swali, HV unaweza kumchagua mweza kwa uzingtia ahadi anazokupa zakuvutia na kukupendeza ? HV unatakiwa kuzingatia nini vya Mhm ktk nyanja hyo ya Muhimu ? Maana najuwa wengi wanapewa ahadi wanakubali lkn banda ya ndoa wiki haiishi vilio na kuomba taraka . ukijibu ntajibu
 
Bado ccm inaenda kushinda tena kwa kishindo mkuu si upo na huu uzi utakuja kukubali yangu na ushabiki utapoa kwa sasa unaweza usinielewe
Ni kweli, washindwe au washinde, wao watashinda, kama 2015
 
1) 2015 ilikuwa ni UKAWA (Chadema, CUF, NLD & NCCR). 2020 ni Chadema pekee.

2) 2015 watu walikuwa wapo huru kuhudhuria kuliko 2020 ambapo kuna TRA, TAKUKURU, TCRA, kufukuzwa ajira serekalini, nk.

3) 2020 vyuma vimekaza kwa ukata - wananchi wengi wanaotaka kuhudhuria kwa Lissu hawana nauli

4) 2020 tupo wana CCM wengi ambao hatuhudhurii mikutano ya Lissu lakini tutampa kura zetu mgombea huyu
Pia tupo wanachadema wengi hatukanyagi mikutano ya ccm wala chadema lakini tutampa magu mitano tena .
 
Weka mada vizuri,Kwa sasa kima Nyomi ya Lissu na Nyomi ya wasanii,toeni wasanii tuone nyomi ya magufuri.
 
Wasanii nisehemu ya kampeni. Jiulize kwann kwa lisu hawaendi?
Basi ulitaka wasanii wakatazwe kumwimbia magufuli? Mbona walifanya HV yo kabla yakampen? Fumbua macho uone ilikuwaje Kala ya kampen
 
Ccm chali
FB_IMG_15987640392410674.jpg
 
Wakuu, kuna watu nimeona wakisema kuwa lowassa alijaza watu wengi kuzid Lissu Lakini bado CCM ikashinda, watu Hawa nikama vile wamekosa uchambuzi na uelewa wa kitaalam labda nikuelekezeni

Ni kweli kuwa Lowassa alijaza watu Sana kuliko lisu na kuliko Magufuli na baado CCM ikashindwa, ila Faham kuwa kipindi cha kampeni Ya 2015 na kipindi cha kampeni 2020 kuna utofauti Mkubwa Sana Mwaka 2015 watu walikuwa friendly kiupinzani, watu walikuwa wanachagua Kwa mapenzi wanampenda Nani ndio wanachagua Lakini Faham kuwa kipindi hiki watu wanaenda kuchagua Kwa hasira, hasira za watanzania zitatumika kipindi hiki katika kuchagua tofauti na zamani.

Watu wameteswa, watu wameumizwa, watu wameporwa Mali zao, wakulima wameporwa Mazao yao, wafanyabiashara wamefilisiwa Kwa hila, wafanyakazi wameteswa na kunyimwa haki Zao Kwa ubabe, vijana waliokuwa wanaajiriwa moja Kwa moja walizuiwa kuajiriwa Kwa ubabe, watu wameuwawa, watu wameswekwa magerezani, vikundi vya kigaidi Kama wasiojulikana vilianzishwa kuteka watu, watu wamefungwa Kwa hila, watu wamezuiwa kuwa pesa kila anaepata hela anafuatiliwa, mfano magufuli juzi tu akasema hela zao tutazidhibiti, kuna Siku alisema watu wataishi Kama mashetani, watu wamekufa Kwa mishtuko

Hivyo hao wote hawataenda kupiga kura Kwa Upendo Au Kwa kufuata mkumbo, watapiga kura zao Kwa hasira kubwa, hivyo uliokuwa unawaona Kwa lowasa waligeuka wakapiga kura Kwa magufuli Kwa sababu huko Nyuma wengi Sana walimpenda magufuli kwa sababu hawakujua tabia yake, wengi wao walikuwa na lowassa toka Mwaka 2012 hivyo waliingia kimkumbo Lakini mwishoni karibia na Uchaguzi walimuacha, wasukuma wengi Sana walimchagua magufuli Kwa kigezo cha ukabila pasipo kujua tabia yake kitu ambacho Kwa sasahivi wamegawanyika, wafanyakazi walimchagua mwishoni kutokana na kuwa hawakuwahi kupata madhira Ya haki zao kupokonywa, vijana wengi walimuunga mkono mwishoni Kwa sababu ya ahadi Ya viwanda wakihisi kuwa watapata ajira nyingi na akina mama Vijijini walimpa kura Kwa sababu Ya 50,000,000 kila kijiji, hawa wote walibadilila mwishoni Kabisa muda wa kukaribia kupiga kura na haya pia yalichangiwa na Yule Katibu Mkuu wa chadema, na lipumba kuwageuka wenzao,na akina nchimbi na mama Sofia Simba kubadili maamuzi ya kumuunga lowassa mkono, hivyo kulikuwa na mabadiliko Ya wapiga kura kwenye sanduku yaliyosababishwa Ma mazingira Ya kipindi kile kuwa Hakuna madhara yaliyokuwa yanawatokea wananchi toka Kwa serikali Kama Kwa sasahivi, Kwan sasahivi watu wanahasira Hakuna wa kubadilisha maamuzi,

Pia swala la mikutano Ya kipindi kile ni tofauti na mikutano Ya kipindi hiki, mikutano Ya lisu asilimia tisini wanaoenda watampigia kura, Lakini Kwa magufuli wanaoenda hawawez fika asilimia hamsini watakaompa kura no, Kwan sababu wengi wanaenda Kwa kulazimishwa, kutishwa kufukuzwa Kazi, kutishwa kufukuzwa uwaanachama, na pia kujazwa na watu toka wilaya zooote za Mkoa husika tofauti na lisu ambae anapata watu Wa eneo hilo hilo, pia Faham kuwa magufuli wanaccm karibu asilimia 30 hawatampigia kura wakiwemo makada mbali mbali

Najua wapo watakaopinga Hapa Lakini naomba wakipinga waje na hoja
Mtamwua Mzee Meko kwa presha, tayari pacemaker imekwishafyatuka mara 2 sasa
 
Back
Top Bottom