Recent content by Joel humphrey

  1. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Azam & Simba Matches

    mkuu haya matokeo yananipa raha sana
  2. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Azam & Simba Matches

    mkuu ile mechi name nilishuhudia live, wale jamaa kiukweli hawafai kabisa, ukiwa nje utaona kama wanafanya mzaa ila waulize wachezaji wa timu pinzani watakwambia shughuli ya wale jamaa
  3. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Azam & Simba Matches

    mkuu wale jamaa hawafai, mie mara ya kwanza nimeona mechi yao uwanja wa taifa siku ile wanacheza na Yanga, sio siri wale jamaa ni hatari sana, beki za yanga zilikuwa hazipandi mbele kama walivyozoea kucheza na timu nyingine
  4. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Azam & Simba Matches

    bado bila bila mpaka sasa
  5. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Azam & Simba Matches

    Wakitoka Tanga wanaenda mbeya kwa wapiga nyundo
  6. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Mtibwa lazima apakatwe goli 3
  7. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Pamoja sana mkuu
  8. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Siku hizi jamii forum hakuna tofauti na facebook, zamani live updates hasa jukwaa la michezo zilikuwa zinarushwa kila dakika, siku hizi ni story tu wala hupati matokeo
  9. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    mbona hakuna updates ?
  10. Joel humphrey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kike wenye asili ya kiarabu na wa kihindi

    Ni kweli sura yenyewe kama cha kijambio cha bata
  11. Joel humphrey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Kwani kati ya aliyechomekea vizuri na aliyevaa t-shirt na jeans, yupi kati ya hayo atakuwa atakuwa anaonekana smart zaidi ?
  12. Joel humphrey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Sister mie mzima wa afya, kwa heshima yako itabidi niondoe hii current avatar naona hujapenda kabisaa
  13. Joel humphrey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Kwani kuvaa huko ndio kuko vipi ? kuvaa jeans na t-shirt au kuchomekea modal ?
  14. Joel humphrey

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Mh! majanga hayo
  15. Joel humphrey

    JamiiForums Tanzania Manchester City Vs Chelsea: Time and live stream links

    Du! look imeisha
Back
Top Bottom