Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

Goli la wazi wanakosa mbeya city hapa !! Nini Nonga hapa
 
Mtibwaa wanakosa goli hapa wao na kipa
 
Bila bila mpaka sasa, ila mvua kama inataka vuruga amani apa uwanjani
 
Mbeya hali ikoje huko? Tanga simba anapigishwa rigwaride
 
Goooooooooooo, goooooo goli la mwaka linafungwa apa mbeya, hahahahahaah mbeya city2 mtibwa 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom