Recent content by Joel Ezekiel

  1. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wanajf naomba mnisaidie, mi m2mishi nimebadishana kituo cha kazi lakin mpaka sasa miezi nane taarifa hawajaamisha kijital ila data sheet nilisichukua na kupeleka halmashauri niliohamia, naomben ushauri mana ahad zmezd kila nikiwasiliana na wale wa halmashauri nilikotoka bila mafanikio
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usikikate kitunguu maji ukakibakisha ili kesho yake ukitumie tena haifai kabisa

    kama kuna ukwel thibitisha kauli yako mkuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania MWANAMME WA Australian AOWA MBWA Australian Guy Marries His Dog

    dunia inakaribia mwisho
  4. J

    JamiiForums Tanzania walimu mtakomaa mwakaa huu!

    ni nzuri lkn cwt na tsd ife kwanza la sivyo walimu mtaendelea kurutubisha bila faida unaopata Mwalimu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Darasa la 2 kufanya Mtihani wa Taifa

    kakosa la kusema huo waziri
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maji ya nazi

    du mtoto atachanganyikiwa kabla ya hata kutamka neno
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waumini bwana.....!!!!!!!

    hayo maji yatakuwa ya uzima au ya pombe
  8. J

    JamiiForums Tanzania Utajuaje amenunua simu jana?

    anakubp ukipigia anakuambia nilikuwa nakusalimia
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa shule: Anamuuliza babake, et Baba kupata na kukosa kipi bora ?

    kweli dis is snake generation
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanaume!!nimewanyooshea mikono

    Ukipenda vya bure utajuta zaliwa 'be care'
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni jamani

    Mimi ni mgeni jamani kwenye nipokeen jaman wana JF wenzangu
Back
Top Bottom