Maji ya nazi

Maji ya nazi

Ataongea muda si mrefu, kama unaona anachelewa kuongea muombee kwa imani ataongea, achana na kumnywesha mtoto vitu vya watu wenye mapafu yaliyokomoa, mwisho awe kikojozi bure!

Nimekuelewa ndugu asante sana.
 
Naona mleta mada amekuja na style ya kipekee katika kuhamasisha KILIMO CHA MINAZI kwa familia na mikoa wasiojua zao hilo.
Ingependeza zaidi ukiendelea kubuni na njia mbadala za utokomezaji mihadarati, rushwa na ufisadi..! Big up NAZI OYEE..!?
 
Mwaka mmoja hajachelewa kabisa kuongea, cha kuangalia ni kama mtoto yuko alert,anafanya kelele zile za watoto
(Baby talk) sounds zinaita attention yake maneno yatakuja baadaye.
 
Kiroba cha nini?
Kiroba kitamfanya aongee kidhungu!sikiliza wewe ,ukitaka mwanao aongee haraka njia bora na nyepesi kwanza ilitakiwa uongee nae lugha fasaha since day one (hakuelewi lakini anakusikia) baada ya hapo uwe unawasiliana nae kwa ufasaha epuka kumuiga anapoongea vibaya usimwambie maneno kama 'oto iyo= moto huo' 'taka mma' taka jojoa na kadhalika.
wazazi wengi hufanya makosa hapo-kabinti kangu by the time she was few months shy to 2yrs she could almost speak any word be it swahili or english ,she can pronounce them!
In short ongea na mwanao kama unaongea na mtu mzima mwenzako!
 
Maji ya nazi yana kirutubisho kinachoitwa Segmolynisis ambacho huongoza sehemu ya ubongo inagocontrol vocal kurelease gamitrogen ambayo huharakisha speech segment kwenye ubongo kurelease hamitopilin ambayo humfanya mtoto kuongea mapema. Ila wengi wao huwa mataahira coz segmolynisis hufanya waongee ujinga hata wasiojua...mama muuza nipe nusu tafadhari...lara 1 vp beib weekend iliishaje???!!!
 
Hili ndio jibu sahihi,zaidi ya hapo namimi nitakushauri umpe maji ya nazi pamoja na mchele atafune.
 
Naona mleta mada amekuja na style ya kipekee katika kuhamasisha KILIMO CHA MINAZI kwa familia na mikoa wasiojua zao hilo.
Ingependeza zaidi ukiendelea kubuni na njia mbadala za utokomezaji mihadarati, rushwa na ufisadi..! Big up NAZI OYEE..!?

Kwakweli mnazi unafaida nyingi sana. Maji ya dafu ukichanganya na ndimu ni dawa kubwa sana ya malaria.

Mimi situmii dawa za dukani. Ninachukua ndimu moja nakumulia kwenye dafu kutwa mara tatu fresh kabisa maralia inakwisha
 
Mwaka mmoja hajachelewa kabisa kuongea, cha kuangalia ni kama mtoto yuko alert,anafanya kelele zile za watoto
(Baby talk) sounds zinaita attention yake maneno yatakuja baadaye.

Yap yuko alert. Si unajua ninahamu ajue ili asije dhulumiwa chenji dukani.
 
Kiroba kitamfanya aongee kidhungu!sikiliza wewe ,ukitaka mwanao aongee haraka njia bora na nyepesi kwanza ilitakiwa uongee nae lugha fasaha since day one (hakuelewi lakini anakusikia) baada ya hapo uwe unawasiliana nae kwa ufasaha epuka kumuiga anapoongea vibaya usimwambie maneno kama 'oto iyo= moto huo' 'taka mma' taka jojoa na kadhalika.
wazazi wengi hufanya makosa hapo-kabinti kangu by the time she was few months shy to 2yrs she could almost speak any word be it swahili or english ,she can pronounce them!
In short ongea na mwanao kama unaongea na mtu mzima mwenzako!

Brother umeongea kitu kizuri sana. Nimekuwa nikigombana na mama yake kila kukicha juu ya staili ya kuongea. Tena akiwa na mimi nahisi ananielewa vizuri kwa kuwa maneno nayatamka kwa ufasaha kuliko hao wengine. Shukrani brother Ali
 
Maji ya nazi yana kirutubisho kinachoitwa Segmolynisis ambacho huongoza sehemu ya ubongo inagocontrol vocal kurelease gamitrogen ambayo huharakisha speech segment kwenye ubongo kurelease hamitopilin ambayo humfanya mtoto kuongea mapema. Ila wengi wao huwa mataahira coz segmolynisis hufanya waongee ujinga hata wasiojua...mama muuza nipe nusu tafadhari...lara 1 vp beib weekend iliishaje???!!!

Mweee full biology. Shukrani.
 
Back
Top Bottom