Issue ya fedha inaweza ikawa siyo shida kubwa sana kwa kuwa Mtatiro hawezi kulazimishwa kurejesha fedha hizo kwa sababu kimsingi siyo kosa lake.
Ikitokea shauri lililoko mahakamani likawaendea vizuri upande wa Lissu, jambo baya sana litakaloojitokeza ni aibu kwa chombo kikubwa kama Bunge...
Kwa hali ya uchumi wa Tanzania tunaweza kuwa na wateja wangapi wa moja kwa moja wa kwenda U.K kwa wiki. Hata tukijumlisha na Zanzibar, Comoro, DRC? BA walisimamisha route hii kwa sababu waliona inawapa hasara.Je soko limebadilika kiasi hiki kuruhusu new entrant. We should approach this...
Kushikiliwa kwa ndege hiyo ni aina ya shinikizo ili deni linalodaiwa lilipwe... kwa kusema ndege inatumiwa na Mheshimiwa Raisi si ndiyo tumewapa nguvu ili shinikizo lao lipate nguvu? Nafikiri cha muhimu ni kesi ya msingi. Je madai haya yana uhalali wa kisheria? Kuna uwezekano wa kuzungumza nje...
We need a bit a patience as our legal team is still in SA sorting out this issue.This kind of behavior shows the kind of people we are. No one would impound someone's aircraft for no reason.
Kama alimsikiliza vyema Rais leo aelewe tu kuwa kazi aliyopewa imekaa kimtego. Michango yake bungeni ya kukosoa ndio imemfanya mkuu kumpatia hiyo kazi, na hivyo atttention itakuwa kubwa sana kwake
Environmental Impact Assessment ni zoezi la kitaalam ambalo hufanywa kabla ya mradi kuanza kubaini vihatarishi vya ki-mazingira na kijamii vinavyoweza kujitokeza kama mradi fulani utatekekelezwa. Zoezi hili hutoa mapendekezo ya kukabiliana na changamoto hizo " Environmental Management Plan"...
Underlying Factors affecting the Stock Market
Economic growth. Higher economic growth or better prospects for growth will help firms be more profitable because there will be more demand for goods and services. This will help boost company dividends and therefore share prices.
Interest rates...
Usilaumu bila kujua katiba ya nchi hiyo inasemaje kuhusu stahiki za Rais na familia yake. Kwa mfano, Waingereza pamoja na maendeleo na ustaarabu wao wote, linapokuja suala la Royal family utashangaa. These are cultural issues na nchi haiwezi kurudi nyuma kimaendeleo kwa issue ya masaa machache...
Makonda alidai kuwa taasisi moja ilichangisha fedha kwa jili ya gharama za timu. Barua ya Spika kwenda TTB inaeleza bayana kuwa mchango unaoombwa ni kwa ajili ya gharama za wabunge kwenda kushiriki kuhamasisha timu. Sidhani kama mambo haya yanafanana kwa namna yoyote
This is a very right approach to Tanzania. Tanzania economic cooperation is definitely in the South than North. It has a great hinterland in the south with big economies of Zambia, Malawi, and definitely DRC. Seriously we urgently need to strengthen cooperation with this block.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.