ATCL lazima ife tu kama mtu mmoja amefikia hatua ya kwenda "kutanua" na Airbus kijijini kwao

pombe siku zote ni MZEE WA KUJIRIJECT !
alimlaumu kikwete kwa kutumia pesa nyingi safari za nje..
wakati yeye ndie kiongozi anayeongoza kwa kuwa na misafara na safari ambazo ni more expensive ndani ya nchi !
tukiacha kwenda porini na airbus, huyu babu hata msafara wa magari si wa nchi hii.
 
Acha upuuzi wako hapa,kwahiyo kwa akili yako safari ya mtu mmoja kwenda na ndege kubwa kama ile kijijini kwake inalipa zaidi kuliko kufanya safari ya kwenda nje ya nchi kwa route ambayo ni more profitable ! Mimi naamini una nuksi wew
Hizo ndege zinafanya biashara,Rais anapoichukua kwenda nayo Chato haichukui bure bali inakodiwa kwa ATCL na Hivyo ATCL inapata mapato.Hata wewe ukihitaji kukodi kwenda nayo kwenu unapewa ili mradi ulipie tu,na ndiyo biashara.Safari za ndege zina utaratibu wake huwezi ukaamka leo ukasema narusha ndege kwenda ulaya au china,kuna process ya kufata kuhusiana na vibali vinavyotolewa na taaasisi za anga za kimataifa kwenye routes na ratiba ya Chinas tayari ipo karibu kwenda kwenye mji wa Gwanzhou pamoja na India.wewe kuwa mtulivu utaona shirika litakavyopaa
 
Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dude lile...
Hii kauli ungeitoa Kilimanjaro ungeomba msamaha tena kanisani kabisa.
Ila kwa kua watani zako hawana noma na mtu it's okay.
Huo ndo uzuri wa watani zako.
 
Dege kubwa la abiria..

Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda na vi-Premio vyetu..

Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dude lile...

Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua dege la kubeba abiria 260, akaenda kula nalo bata kijijini kwao? Isitoshe huyu ana ndege zake 3 sijui na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..

Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.

ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda mkiwawashia abiria mataa na kuwaacha solemba...

Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅
Tatizo lenu nyie watu wa ufipani hamna jema kwenu,unasema mnatumia premio kwenda kwenu lakini rais akitumia usafiri wa chini mnambeza,ametumia ndege ili aione kama ipo sawa kiuendeshaji mnamsema,tumeshawazoea huku tunasonga mbele tu ila mkumbuke kuwa na akiba ya maneno maana hivi vitu huwa vinajirudia tutawarejeesheeni tu.Sasa hivi mnanguvu za kuongea sana kwa kuwa mnahamu kweli ya kukanyaga kapeti jekundu ila kwa stahili hiyo mtaishia kubeza tu boresheni kwenu muone mnakosea wapi.
 
Leo mnalalamika rais kuitumia hii ndege wakati alipoinunua nyie ndio mlikua wa kwanza kupinga

Endeleeni kuongelea mambo mengine hili la ndege haliwahusu...mlishaikataaga
 
Hii kauli ungeitoa Kilimanjaro ungeomba msamaha tena kanisani kabisa.
Ila kwa kua watani zako hawana noma na mtu it's okay.
Huo ndo uzuri wa watani zako.
Unaona ulivojaa hisia za kikabila, kwani mimi nimewataja hao watani zangu ni kabila gani? Na wanatoka mkoa gani?
 
Dege kubwa la abiria..

Badala lifanye safari za kwenda Ulaya na Uchina kuleta watalii kama tulivyoaminishwa mtu mmoja anaamua kwenda nalo kijijini kwao akawaringishie wanakijiji wenzake...Sisi wengine huwa tunakwenda na vi-Premio vyetu..

Yan watani zangu hawa itokee anunue shati jipya, au baiskeli, au pikipiki au godoro...lazima wanakijiji wenzie wote wamtambue, sembuse aliyenunua dude lile...

Hoja ni kwamba ATCL wacha ife tu...itaepukaje kifo kama mtu 1 anaamua kuharibu utaratibu wa biashara wa shirika kwa yeye kuchukua dege la kubeba abiria 260, akaenda kula nalo bata kijijini kwao? Isitoshe huyu ana ndege zake 3 sijui na alishazigawa kwa shirika kwa kudai hana haja nazo, kumbe alifanya vile baada ya kuona madude haya makubwa yamewasili kumbe ameyatamani dadeki..

Bado na yule mwanae akitoka Misri naye atakuja kufanya kituko kama hiki, maana kila kitu hupenda kumwiga baba yake...naye lazima ataichukua Boeing kwenda nayo Kolomije.

ATCL nyie endeleeni na utaratibu wenu wa kukatisha tiketi, then ahirisheni safari, au ondokeni kabla ya muda mkiwawashia abiria mataa na kuwaacha solemba...

Mzigo mzito mpeni Mnyamwezi aubebe😅

Raisi anapotumia ndege ya shirika la kibiashara la nchi kwa safari zake analipia, Ofisi ya Raisi ina budget kwa ajili ya safari za Mheshimiwa raisi.
 
Hii kauli ungeitoa Kilimanjaro ungeomba msamaha tena kanisani kabisa.
Ila kwa kua watani zako hawana noma na mtu it's okay.
Huo ndo uzuri wa watani zako.
Kuna watu wanateseka sana kumuona JPM akiitumia ndege ile, anapozinunua hizi ndege ni wao wanaopiga kelele kwamba pesa hazijaidhinishwa na bunge.
 
Raisi anapotumia ndege ya shirika la kibiashara la nchi kwa safari zake analipia, Ofisi ya Raisi ina budget kwa ajili ya safari za Mheshimiwa raisi.
Akili matope, unakodisha Airbus(soma tena Airbus) hadi kijijini ni akili au matope hizo? Yeye si ana ndege zake ndogo? Sasa anabeba lidege lote hilo kwa kazi gani?
 
Back
Top Bottom