Recent content by jodata

  1. J

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini katika majarida ya zamani kabla ya magazeti ya udaku

    Namkumbuka mchoraji namba moja Africa Marehemu John Mathias Kaduma, hakika jamaa alikuwa kichwa has a kwenye jarida la Tabasam wakati huo Kaa Chonjo,Mshkaji,Ndondocha walikuwa wakifanya jarida linoge na pia Toto Kijiwe Stiki nae alikuwa ni shida ila sasa hakuna jipya zaidi ya udaku uchwara was...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya KKKT na Romani Katoliki katika dhana ya kisiasa na fedha

    Huu mgogoro was KKKT mnaukuza nyie wala hakuna mgogoro kama mnavyofikiri,ukweli ni kwamba Malasusa kapigwa chini na si vinginevyo so kama unadhani kanisa linaogopa porojo za mitandao umefeli,ongeeni lkn ukwelu ni kwamba Malasusa is no longer there
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kwa Viongozi wote wa Chadema kuanzia muda huu

    Jamani msitutoe kwenye reli na story za kijinga ,hapa hamtutoi kwenye reli tuelezeni wapi trillion 1.5 zilitumikaje
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa hadhi ya wasomi wa sasa

    Tatizo la elimu ya Tanzania haimuandai msomi kujitegemea coz syllabus tunazotumia zimepitwa na wakati kitambo sana kulingana na kukua kwa technology ,mfano wakati nasoma nilijifunza habari za Bunsen burner lkn kwenye maisha Bunsen burner haijawahi niletea ugali mezani,na pia kuna masomo mengi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Escape from Sobibor, AWOL, Kuch Kuch Hota Hai, Ishq and No escape
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bombardier ni maumivu kwa Mtanzania kiasi hiki!? Bunge lagundua...

    Nyie chadema Hanna jema acheni tupige Nazi bana,mtatutoa kwenye reli na hizo porojo zenu,wakati sisi tuko bize na kununua madiwani nyie mnaleta habari ya bomba dear ,acheni tuchape kazi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Enyi watu jihadharini na manabii wa uongo wale watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Abbasi: Waandishi msiogope, kosoeni Serikali

    Hakuna kitu hapo,hili ni changa la macho,si serikali hii ambayo ukisema uchumi unadorora unaambiwa umetumwa na chadema,mfano ni waraka was maaskofu nafikiri majibu yake uliyaona
  9. J

    JamiiForums Tanzania Somo la Usaliti Clouds FM

    Mna uhakiaka gani kama in Pengo,acheni kupiga ramli,na hata ikiwa ni yeyenyie inawahusu nini si mumuache na sisiemu yake
  10. J

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Hakika nilitokea kumwamini sana Shigongo maana makala zake zilikuwa zinagusa moyo wangu,lkn kumbe alikuwa na malengo yake ambayo sasa yuko kivulini anakula,huyu jamaa in MNAFIKI namba moja duniani wala si mtetezi wa wanyonge tena,hasimami kwenye ukweli ,kaka yangu plz change your mind set and...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Mimi Nina baadhi ya vitabu kama Kikosi cha kisasi,Njama,Kufa na kupona,Hofu na karatasi za siri,lkn nimetafuta kitabu cha Rosa Mistika no mwaka was kumi sasa sijakipata ,kama kuna mtu anaweza kunisaidia namna ya kupata tuwasiliane plz
  12. J

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Hakika kuna riwaya ziliukonga moyo wangu lkn bado hizi nitazikumbuka daima ,Kikosi cha kisasi,Njama,Kufa na kupona,RosaMistika,Dunia Uwanja wa Fujo,Alfu lela ulela ,nakumbuka nilikuwa mdogo lkn Dada zangu walikuwa na vitabu hivi na ndio walinifanya nipende kuvisoma,na pia enzi hizo gazeti la...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Mimi nashauri serikali ifanye kila mbinu kuhakikisha hakuna diwani wala mbunge was chadema ataendelea kuwa madarakani na pia hakuna bunge live maana ndio chanzo hasa cha uchumi wa nchi kudumaa ,pia vyombo vya habari vinavyokosoa juhudi za kukuza uchumi vifungiwe milele maana ndio kikwazo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

    Uwaziri unamnyemelea
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

    Alex Song to Barca
Back
Top Bottom