Recent content by Jobless Graduate2021

  1. Jobless Graduate2021

    Biashara ya Magazeti Ya Kufungia bidhaa

    Habari za Wakati huu Watanzania Wenzangu, naomba niende kwenye mada husika. Nina mtaji wa 200,000 nataka nianze biashara ya Magazeti Ya Kufungia bidhaa, naomba kujuzwa bei zake za jumla Dar Es Salaam Mimi nipo mkoa wa Njombe. Natanguliza Shukrani zangu za Dhati kwenu.
  2. Jobless Graduate2021

    Naomba kujuzwa bei ya Vifungashio vya ujazo wa lita 1, lita 3 na lita 5

    Habari za Wakati huu Watanzania wenzangu, natumai mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa Letu Pendwa. Naoma niende moja kwa moja kwenye mada. Nimepata wazo la kuanza kutengeneza Sabuni za Maji za Kufulia, Kuoshea Sakafu/tiles, na za Kuoshea magari. Naomba kujuzwa bei ya...
  3. Jobless Graduate2021

    Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    hawa jamaa sijui wana shida gan
  4. Jobless Graduate2021

    Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    labda ndo wanavyofundishwa huko wanakoendaga
  5. Jobless Graduate2021

    Mtanzania mbaroni kwa tuhuma za ugaidi Mombasa

    kuna input zikiendaga kusomea dini ng'ambo product yake inakuaga ugaidi na mambo ya hovyohovyo sana
  6. Jobless Graduate2021

    Ushauri nataka nijitose Mwanza mradi wa SGR

    Wazo zuri sana Ndugu yangu. Na ukifanikiwa huko unaweza pia tujuza namna ya kuomba na sisi Jobless Youth ili tujenge Taifa letu pendwa la la Tanzania. [emoji120][emoji120]
  7. Jobless Graduate2021

    Msaada: Mwenye chapisho la Kesi ya Uhaini 1964,1969, &1984

    Habari wakuu, Naomba mwenye publication yeyote inayohusu hiyo historia naomba msaada nimevutiwa kuyafahamu kiundani matukio haya. Natanguliza Shukrani zangu za dhati
  8. Jobless Graduate2021

    Kampala University fees

    Kuna rafiki zangu mmoja sheria na mwingine uandishi wa habari
  9. Jobless Graduate2021

    Kampala University fees

    Ahaahh Shukrani kwa kunielewesha
  10. Jobless Graduate2021

    Kampala University fees

    Boss ada za undergraduate kwa koz ya sheria na uandishi wa habari
Back
Top Bottom