Naomba kujuzwa bei ya Vifungashio vya ujazo wa lita 1, lita 3 na lita 5

Aug 15, 2021
49
45
Habari za Wakati huu Watanzania wenzangu, natumai mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa Letu Pendwa. Naoma niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimepata wazo la kuanza kutengeneza Sabuni za Maji za Kufulia, Kuoshea Sakafu/tiles, na za Kuoshea magari. Naomba kujuzwa bei ya Vifungashio vya ujazo wa lita 1, lita 5 na lita 3 wataalamu wanifahamishe kuhusu hili Jambo.

Natanguliza Shukrani zangu za Dhati!!
 
Nenda Kariakoo upande wa sokoni kule soko lilipoungua ukiingia ndani au ukishuka mitaa ya chini opposite na soko, utapata kila aina ya vifungashio unavyohitaji.
 
Back
Top Bottom