Bila kujali sehem unayokutana na mwanaume ,, anaweza kuwa mkweli au mwongo, hujawai sikia wanakwaya wanagegedana na wala si wana ndoa!? lakini wamekutana kanisani. Kumbaini mwongo na mwenyewe future na wewe hiyo ni kazi nyingine lakini wapi ukutane na mwanaume mkweli... hakuna sehem maalum...
Bado tu hujakua? Uko humu JF lakini hujui kazi za wanajeshi!? Hebu fikiria ndo tumekupa hii nchi na wewe hujui kazi za jeshi ,,,si utauza nchi hii wewe?!
Usimtazame mwanamke kwa ukatili,
Mwanamke anatakiwa kuonewa huruma,
Mi nikikukuta unampiga mwanamke hata kama ndo ulikuwa unamrudishia baada ya yeye kukubonda na kitu.... ntakumaindi wewe , nitamsaidia mwanamke.
Angalau sasa wimbo wa ufisadi uliovuma sana mifomoni mwa wengi sasa umepungua sana,,,,,hii ni hatua moja kubwa katika kuweka misingi imara ya utendaji kazi kwa uadilifu.
Halafu matatizo mengine naamini yatashughulikiwa kwani mkuu wa kaya ana dhamira safi na nchi yetu.
Utamkomesha ikiwa tu baada ya kutembea na mkewe halafu unamwambia kuwa umeshamtafunia my wife wake....
Mda huo unauhakika umefaulu interview sehem nyingine.
Hivi humu hakuna aliyewai angalia " Once Upon the Time"
Akina Regina Mills.
Mr Hook
Mr Gold ( Rumpelstiltskin)
Emma
David
Bila kumsahau Mr. Pan who never fails
Uccm na ucdm wenu unawakwaza wasioshabikia vyama,
Imefika wakati kuna watu hawaamini kama inawezekana mtu asishabikie chama chochote ,, hii ipo hasa vichwani mwa waliokunywa maji ya bendera zao. Ila hasara ni kwamba mnashindwa kuchukua michango chanya kutoka kwa watu wasioshabikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.