Kuna uwezekano ukawa sahihi kwa 100% maana nlifanya interview yao mwezi wa sita mwishoni kanda ya kaskazini, na walinitumia email baada ya week moja kuwa nimefanya vizuri katika interview zao zote... Walichoeleza ni kuwa nisubiri kuitwa Ila itategemea ufaulu wa watu kwamba aliyepata marks za juu...
Ameshikwa na butwaa kwa alichokiona kwenye movie hadi ameshindwa kutafuna popcorn.... Ndicho kinchoenda tokea leo... Tutashangaa sana wakati movie inaendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.