Mimi pia shuleni nilikuwa nafaulu na sifa yangu nyingine nilikuwa muombaji nakumbuka nilishawahi hadi kumuombea mkuu wa shule alipopagawa na pepo lakini yote hayo hewa tu sina ajira hadi sasa
Nauliza kama ni mimi ndiyo naonekana mgeni nchini peke yangu au tupo wengi. Nauliza hivi kwa sababu nimezaliwa katika enzi za Mwinyi mwishoni mwishoni, hivyo kuanzia enzi za Mkapa ndipo nikaanza kujua siasa za nchi yangu kidogo kidogo na enzi za Kikwete ndipo nikaanza kujua vingi kidogo na hadi...
Mwanafalsafa wa Ugiriki aitwae Democritus aliwahi kusema kuwa "happiness of the man should not be upon the things of the world because the things and treasures of the world come and go, rather the happiness of the man should be upon his inner dignity" Democritus alimaanisha kuwa furaha ya mtu...
Ukatae ukubali lakini ukweli utabaki kuwa Ulaya ipo mbele yetu kwa zaidi ya miaka elfu moja yaani zaidi ya karne.Nasema hivi kwasababu vitu tunavyoviona kama ujanja kwetu kwao vilikuwa vya kipumbavu karne moja iliyopita.
Mwaka 1844 mwandishi wa Norway aitwaye Henrick Ibsen aliandika kitabu...
Nyani ni serikali mkulima ni wapinzani ambao nyani anatamani wasiwepo halafu mahindi ni misaada kumbe pengine serikali inasahau kuwa misaada inayopata inayosaidia kwny bajet zinatokana na kwamba kuna vyama vingi ishara ya demokrasia sasa siku wakiua upinzani hiyo misaada wanayopata japo kidogo...
Utu ni zaidi ya utaifa,ukabila,udini na hata uchama. Kiukweli kinachofanywa na baadhi ya viongozi wetu wa nchi hii havipaswi kushabikiwa na watu wenye utu. Kuna wakati nashangaa baadhi ya watu wanaoishi kwa kujidhania kana kwamba hawatakufa.
Hata kama adui yako ulimtakia kufa lakini baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.