Mbuga ya Burigi Chato

Mbuga ya Burigi Chato

Joined
May 3, 2019
Posts
53
Reaction score
145
BURIGI CHATO;

Hali ya hewa ya ukanda wa Kagera hadi Chato ina mvua za misimu mitatu ya mvua kwa mwaka hivyo ukame ni nadra sana kutokea katika ukanda huo. Na kwa sababu ya kuwa upande wa magharibi wa ziwa Victoria, upepo unaovuma kuelekea nchi kavu unasafirisha hewa yenye umajimaji.

Kijiografia Upepo unaovuma kutoka magharibi mwa ukanda wa Kagera hadi Chato kwenda mashariki, unakuwa na mvuke kutoka msitu mkubwa wa Kongo. Na kutokana na ziwa kuna mawingu ya Cb (Cumuloninbus) yanayo leta mvua nyingi inayo ambatana na radi siku 215 kwa mwaka katika sehemu hizo za Chato na Kagera kwa ujumla.

Majani na miti hubaki ya kijani (evergreen ) mwaka mzima.

#Karibu Mbuga ya Burigi-Chato.
 
Ndo mbuga ya wanyama bora zaid ulimwenguni iliyoshehen kila aina ya wanyama.


Na mademu wakali wote mjin tunataka tuwapeleke chato
 
Basi chato itolewe geita irudi kagera ilipokuwa mwanzo.

Kwa nini waliipeleka geita ?
 
Kuna mbuga flani huko Chato nasikia haina wanyama pindi wakihitajika wanaletwa na magari afu wanarudishwa
 
Back
Top Bottom