Kuja ground utashangaa hiyo mwanza yenu haifikii kisumu infrastructure wise. Alafu hapo kwa tall buildings i guess ni juu ya geographical region hata arusha naona ina maghora ndefu kuliko mwanza as eldoret beats kisumu in tall buildings common sense pals
Kisumu ni mji mkubwa sana most pictures huonyesha cbd pekee side ya lake kisumu imedevelop away from the lake just a picture here na hapo cbd hakuna and many other parts
Naona watanzania kazi yao ni kufuatilia habari zinazoendelea huku Kenya sisi hatujui habari zenu mwehu nyinyi shughulikeni na kwenu ama hamna cha msingi
Hapo kwa miji huitaji kupiga kelele Siku nzima kujilazimisha kuwa miji yenu nzuri kuliko ya wengine. Google ina majibu yote utumie mtandao kueleza hoja sio kuropokwa ovyo ovyo mji mzuri huonekana tu hata bila kulazimishia watu eti imeendelea acha watu wajionee
Nashangaa sana na wengi wetu hapa watanzania mnataka kuilazimishia kenya umasikini kila saa kibera afrika nzima hakuna nchi utasema inaeza kujisamamia tuna changamoto sisi sote. Watanzania hapa wakiongea utadhani nchi yao ni marekani au ulaya na Kenya ni Burundi. Lakini ukweli wa mambo natumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.