Recent content by Joachimmpanda97

  1. Joachimmpanda97

    Marketing Job: Head of Marketing

    I'm not so good at using JF but what i know is JF doesnt allow external links. Am not sure if i put an email will be treated as a link(i think so) or what. So to put the matter straight i used the company no. To collect details. Thanks
  2. Joachimmpanda97

    Marketing Job: Head of Marketing

    Job description Mobisol is one of the world’s leading companies for Solar Home Systems with approximately 700 passionate employees, delivering a clean and affordable alternative to fossil fuels for low-income households (living without access to reliable energy). Our dedicated product line...
  3. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    Hata mm ningependa iwe hvo. But nahitaji kuchukua muda wakutosha niweze kukusanya mawazo na niwape kitu kilichopikwa vizuri
  4. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    mara nyingi kinachowafanya watu wengi wakose internship n1 mbinu za kuomba internship. huendi kuomba internship hivihivi tu. You must lay value on the table! hata watu wengi wanakosa nafasi za kazi kwasababu ya hili stay tuned next week nitaupdate kuhusu namna ya kutafuta internship
  5. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    yes kupata internship sio swala dogo. ila ukiwa na courage and persistant, intern utapata tu! i bet in 180 days stay tuned next week nitaandika uzi kuhusu jinsi ya kupata internship
  6. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    kwa ujumla swala la kutafuta kazi halijawahi kuwa rahisi, hata enzi za JK mambo yalikuwa magumu. Kijana anayetafuta kazi anapaswa kuwa na uvumilivu mwingi angalau baada ya kumaliza chuo atumie miaka miwili kuangalia ni wapi anaweza kwenda na kunaweza kumpa manufaa ya muda mrefu, kujitafutia...
  7. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    hapana ndugu, hakuna subscription fees zozote. nataka watu waweze kuwa fully equiped kwenye soko la ajira. Nategemea kupata pesa kwa njia nyingine
  8. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    kabisa kaka kupata internship sio kitu kidogo, na ndio maana nimeacha tu digest hili la leo then next week nitatoa mbinu za kutafuta internship ni rahisi! unaweza pia ku WhatsApp 0621151090 niweze kuku update na makala hiyo
  9. Joachimmpanda97

    Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

    Habari zenu wana JF Leo nataka kushare na nyinyi sababu kuu inayowafanya kundi hili liwe kwenye wakati mgumu sana kupata kazi na njia wanazoweza kutumia kupata ajira kwa urahisi zaidi. Kwa kuanza, “waliomaliza chuo” namaanisha watu wanaoingia kwenye soko la ajira bila ya uzoefu wowote yaani...
  10. Joachimmpanda97

    Huu ni Utapeli au Ukweli?

    nimeona hii kwenye fb page yao leo " Elite Career Choices September 18 at 10:56am · NOTICE ON FALSE AND FABRICATED ADVERTISEMENTS Dear our esteemed members and subscribers of ELITE CAREERS CHOICES, Currently there are advertisements circulating around the social media calling people to attend...
  11. Joachimmpanda97

    Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

    Hlo ni wazo zuri sana. Mm naona huu ndio uthibitisho wa kwanza mzuri.
  12. Joachimmpanda97

    Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

    Kaka, stori ya utata wa kifo cha kenedy kila mtu anafahamu... Ht nenda kugoogle ss hvi utapata stori kbao kuhusu swala hlo, mm nimeshasoma kitabu chke ch page 400. Kinachomfanya bold awe wa pekee ni vtu viwili vikuu... Cha kwanza anatumia lugha mama.. Ni ngumu sana kwenda google kukuta makala...
  13. Joachimmpanda97

    Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

    Labda kama nmeeleweka vbaya uniwie radhi... Nlichoomaanisha kufananisha na open source ni.. Free distribution hlo ni moja mbili.. Mtumiaji anaweza kuifanya au ku costumize hle softoware anavyotaka... Na tatu yy pia anaweza kuidistribute ansvyotaka... Ndivyo mkuu the bold anafanya pia...
  14. Joachimmpanda97

    Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

    Ni sawa kazi inaanza kulindwa pale tu anapoanza kuandika. Swali ni je, uthibitisho uko wapi kwamba yeye ndie alieanza kuandika? where is the justification that he is the original author? broo.. Bla uthibitisho wa kimaandishi haswa hawezi kutetea kwamba kazi ni yake... Ni ngumu mno kaka...
  15. Joachimmpanda97

    Ulinzi na Usalama wa Kazi zetu

    Mm naomba nikushauri hvi. Wewe unawashtaki unauthibitisho gani makali hzo ni zako... Kunasehemu yeyto umeandika ' terms of use' au 'copyright' mahakamani hata kama unayo haki itakua ngumu kushnda broo kwasabb huna uthibitisho wowote kwamba kami ni yako... Mwenye makosa ni ww kwasabab umeamua...
Back
Top Bottom