Kwanini watu waliomaliza chuo hawapati kazi?

pamoja na hayo sera mbaya katika mambo ya uchumi inachangia, huoni tatzo hili limezidi toka tu JPM alipochukua madaraka, jarib kupitia toleo la ss la BOT kilimo, usafirishaji, mawasiliano na sekta binafsi ziko taabani kwa namna hiyo swala ajira kwa wanachuo lazima liwe gumu, kwa ss hata mtu utafute mahala pakujitolea tena buree hupati

kwa ujumla swala la kutafuta kazi halijawahi kuwa rahisi, hata enzi za JK mambo yalikuwa magumu. Kijana anayetafuta kazi anapaswa kuwa na uvumilivu mwingi angalau baada ya kumaliza chuo atumie miaka miwili kuangalia ni wapi anaweza kwenda na kunaweza kumpa manufaa ya muda mrefu, kujitafutia uzoefu na kujulikana na watu(network) hakuwezi kuwa na substitute hata maisha yawe yamekaza kwa kadiri gani. I Believe in that
 
Unaenda kwene kampuni unsomba kuvolunteer na unajibiwa hakuna nafasi

mara nyingi kinachowafanya watu wengi wakose internship n1 mbinu za kuomba internship. huendi kuomba internship hivihivi tu. You must lay value on the table! hata watu wengi wanakosa nafasi za kazi kwasababu ya hili

stay tuned next week nitaupdate kuhusu namna ya kutafuta internship
 
Si uweke tu hata leo
 
Haya ngoja niususcribe huu uzi niwe tuned na hzo njia
 
MKUU, UNASEMA GRADUATE WANA TAMAA YA MSHAHARA HALAFU UNATAJA LAKI 7 KWELI? HATA KWENYE INTERVIEW UKITAJA LAKI 7 WANAKUONA BONGE LA MWEHU NA HAUNA THAMANI.
 
Somo mrua sana hili yaani umewalenga sana binafsi nilianzia kampuni ndogo sana kama mfanyakazi mdogo sana lkn sasa nashukru niko shirika kubwa la watu nje lenye uzoefu mkubwa na kazi ya heshima mtaani!
Kiukweli vijana wenzangu kazi za sasa ni network na kujituma kwa bidii kinachofuata ni kuitwa popote na kupewa ofa ambayo either utaikataa au kuikubali,interview nyingi ni changa la macho tu!!!

Take care on it japo wengi Uzi utawakera lkn kubalini kupokea na kubadilika.
Uko sahihi
 
Mnahamahama sana mkipata kazi. Kwenu kaz hamuoni kama ni bahati, mkipata mnaanza kuvimba na kuweka mipango ya kusepa. Me ndo mana mtu mwenye elimu ya juu nlomuajiri ni Adv Diploma ya Acc
una shughuli gani mkuu uniajiri nijipatie uzoefu
 
Hiyo elimu niihitaj mkuu 0762481738 what'sApp
 
Mnahamahama sana mkipata kazi. Kwenu kaz hamuoni kama ni bahati, mkipata mnaanza kuvimba na kuweka mipango ya kusepa. Me ndo mana mtu mwenye elimu ya juu nlomuajiri ni Adv Diploma ya Acc
Mkuu nipe na Mimi nafasi sitokuangusha
 
Habari ya wakati huu wakuu.

ITV ni broadcasting station kubwa hapa Tanzania, ila nadhani iko overated sana.

Tofauti na taarifa ya habari ITV wana nini kingine cha ziada kwenye vipindi vyao?

Ukiangalia sasa hata ubora wa hiyo habari yenyewe sioni kitu special, taarifa yao haina tofauti na ya chanel ten.

Mimi binafsi sioni uspesheli wa ITV, naona iko overated sana tofauti na kitu tunachokipata toka kwake.
Kipima joto,malumbano ya hoja,usalama wa raia,

Habari zenu wana JF

Leo nataka kushare na nyinyi sababu kuu inayowafanya kundi hili liwe kwenye wakati mgumu sana kupata kazi na njia wanazoweza kutumia kupata ajira kwa urahisi zaidi.

Kwa kuanza, “waliomaliza chuo” namaanisha watu wanaoingia kwenye soko la ajira bila ya uzoefu wowote yaani “no experience”

Kitu kinachonisikitisha na kilichonifanya kuandika uzi huu ni kuona idadi kubwa ya kundi hili wa kiamini kwamba watapata kazi yenye mshahara wa laki 7 mara tu wanapomaliza chuo na kuanza kutafuta kazi. Kibaya zaidi ni idadi ndogo sana ya watu hawa hupata kazi yenye mshahara wa aina hiyo, wengi wao wako mtaani wa kilia na kuilaumu serikali, kumbe shida ni yao!

Hiyo idadi ndogo hupata kazi za muda mfupi na wengi hupata kazi za mishahara ya aina hiyo kwasababu wana connection na watu kwenye soko la ajira (Network).

Kwanini Hawapati kazi?

Ni nafasi ngapi za kazi ambazo umeona kwamba hawajaorodhesha kigezo cha uzoefu? Chache mno! Kwa ufupi ni kwamba makampuni na mashirika mengi yanawaona watu waliomaliza chuo moja kwa moja kwamba wanahitaji (intensive training) mafunzo ya kina, kitu ambacho kina gharimu muda na pesa nyingi na hawajui itifaki za kazi. Hivyo ni bora wawaajiri wenzao ambao wana uzoefu.

Lakini kikubwa zaidi kinachowarudisha nyuma watu hawa ni imani yao ya kwamba watakapomaliza chuo watapata kazi yenye mshahara mnono. Kitu cha kwanza mwanafunzi wa chuo anapaswa kufahamu kwamba baada ya kumaliza chuo yani kupata ujuzi, anapaswa kutafuta uzoefu na sio pesa

Nini cha kufanya?

Mtu yeyote anapomaliza chuo anapaswa kutafuta kazi za mafunzo yani internship, kulingana na uzoefu wangu mimi, anapaswa kufanya internship hiyo kwa angalau miaka miwili.

Makampuni mengi na mashirika hayatoi mshahara kwa watu wa internship. Kama pesa za kujiruzuku ni tatizo, jaribu kuongea na mhusika kwenye kampuni hiyo aweze kukupatia angalau pesa ya nauli na chakula cha mchana. Wengi wamejaribu hivi na wamefanikiwa!

Faida za kutumia utaratibu huu

Kitu cha kwanza kikubwa utakachopata wewe ni uzoefu wa kazi. Utajiongezea alamu nyingi za kupata kazi unapotuma maombi. Utofauti wa mtu asiye na uzoefu na aliye na uzoefu wa angalau miaka miwili ni mkubwa mno kwenye soko la ajira.

Kama hukufahamu, njia yenye matokea zaidi ya kutafuta kazi ni kupitia kujuana connection(Networking) ulizo nazo sio kuomba kazi moja kwa moja. Unapojitolea kufanya kazi mahala Fulani kwa bidii na ufanisi, kwanza kabisa unajiongezea nafasi ya kuajiriwa na kampuni hiyo na pia unajitengeneza kujuana na watu tofauti tofauti ambao watakuunganisha na fursa nyingi za ajira

Wewe kijana ulioko chuo bado au tayari umeanza kutafta kazi, nakushauri utumia utaratibu huu utakujengea jina zuri katika soko la ajira kwa miaka mingi ijayo!

Wiki ijayo nitajitahidi kutengeneza uzi utakao tueleza namna ya kutafuta hizo internship opportunities

Ukipenda nkufikishie elimu hii karibu zaidi nawe unaweza kuni WhatsApp 0621151090. Nitakutumia kwa wiki mara moja
Wahadhiri na wahusika hawafanyi utafiti wa kozi wanazofundisha na soko halisi hivyo unakuta vijana wengi wanapomaliza wanakuwa wamejaa nadharia ambazo hazitumiki kwenye soko. Sasa inakua ngumu kwa mwajiri kuja kuanza kumfudisha upya kijana hata simple terminologies , achilia mbali approaches. Pili masomo ya ujasiriamali yatiliwe mkazo zaidi vijana wakimaliza waweze japo kwa level ndogondogo kujajiri na baadae kukua.
 
Asante sana mkuu kwa thread nzuri ya kutuongezea maarifa.

Ila pia kwa upande mwingine tukubaliane kwamba zama zimebadilika na mabadiliko ya kisera na kiuchumi katika nchi yetu yamelikuza hili tatizo la ajira sana.

Kwa mfano sasa hivi serikali haijali zaidi ya kuziba mapengo kwenye baadhi ya idara zake.
Huku kwenye sekta binafsi napo mambo si shwari,makampuni na taasisi nyingi ama haziajiri na kupunguza wafanyakazi au zinaajili kwa kiasi kidogo mno na imefikia kipindi mtu unaenda kuomba kuvolunteer unaambiwa nafasi hakuna,ukisema unaomba Internship au ajira ndio wengine wanaona unawapigia kelele.

Cha msingi ni kutokata tamaa na kuendelea kutafuta kwa bidii maana wanasema Tough Times Never Last But Tough People Do!
 
Habari zenu wana JF

Leo nataka kushare na nyinyi sababu kuu inayowafanya kundi hili liwe kwenye wakati mgumu sana kupata kazi na njia wanazoweza kutumia kupata ajira kwa urahisi zaidi.

Kwa kuanza, “waliomaliza chuo” namaanisha watu wanaoingia kwenye soko la ajira bila ya uzoefu wowote yaani “no experience”

Kitu kinachonisikitisha na kilichonifanya kuandika uzi huu ni kuona idadi kubwa ya kundi hili wa kiamini kwamba watapata kazi yenye mshahara wa laki 7 mara tu wanapomaliza chuo na kuanza kutafuta kazi. Kibaya zaidi ni idadi ndogo sana ya watu hawa hupata kazi yenye mshahara wa aina hiyo, wengi wao wako mtaani wa kilia na kuilaumu serikali, kumbe shida ni yao!

Hiyo idadi ndogo hupata kazi za muda mfupi na wengi hupata kazi za mishahara ya aina hiyo kwasababu wana connection na watu kwenye soko la ajira (Network).

Kwanini Hawapati kazi?

Ni nafasi ngapi za kazi ambazo umeona kwamba hawajaorodhesha kigezo cha uzoefu? Chache mno! Kwa ufupi ni kwamba makampuni na mashirika mengi yanawaona watu waliomaliza chuo moja kwa moja kwamba wanahitaji (intensive training) mafunzo ya kina, kitu ambacho kina gharimu muda na pesa nyingi na hawajui itifaki za kazi. Hivyo ni bora wawaajiri wenzao ambao wana uzoefu.

Lakini kikubwa zaidi kinachowarudisha nyuma watu hawa ni imani yao ya kwamba watakapomaliza chuo watapata kazi yenye mshahara mnono. Kitu cha kwanza mwanafunzi wa chuo anapaswa kufahamu kwamba baada ya kumaliza chuo yani kupata ujuzi, anapaswa kutafuta uzoefu na sio pesa

Nini cha kufanya?

Mtu yeyote anapomaliza chuo anapaswa kutafuta kazi za mafunzo yani internship, kulingana na uzoefu wangu mimi, anapaswa kufanya internship hiyo kwa angalau miaka miwili.

Makampuni mengi na mashirika hayatoi mshahara kwa watu wa internship. Kama pesa za kujiruzuku ni tatizo, jaribu kuongea na mhusika kwenye kampuni hiyo aweze kukupatia angalau pesa ya nauli na chakula cha mchana. Wengi wamejaribu hivi na wamefanikiwa!

Faida za kutumia utaratibu huu

Kitu cha kwanza kikubwa utakachopata wewe ni uzoefu wa kazi. Utajiongezea alamu nyingi za kupata kazi unapotuma maombi. Utofauti wa mtu asiye na uzoefu na aliye na uzoefu wa angalau miaka miwili ni mkubwa mno kwenye soko la ajira.

Kama hukufahamu, njia yenye matokea zaidi ya kutafuta kazi ni kupitia kujuana connection(Networking) ulizo nazo sio kuomba kazi moja kwa moja. Unapojitolea kufanya kazi mahala Fulani kwa bidii na ufanisi, kwanza kabisa unajiongezea nafasi ya kuajiriwa na kampuni hiyo na pia unajitengeneza kujuana na watu tofauti tofauti ambao watakuunganisha na fursa nyingi za ajira

Wewe kijana ulioko chuo bado au tayari umeanza kutafta kazi, nakushauri utumia utaratibu huu utakujengea jina zuri katika soko la ajira kwa miaka mingi ijayo!

Wiki ijayo nitajitahidi kutengeneza uzi utakao tueleza namna ya kutafuta hizo internship opportunities

Ukipenda nkufikishie elimu hii karibu zaidi nawe unaweza kuni WhatsApp 0621151090. Nitakutumia kwa wiki mara moja
Kwa sababu hawatak kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom