Recent content by jnr_kng

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

    Aisee mbona unaongea kwa lugha nyepesi kama vile hilo unalolifanya ni kawaida kwenye uislam kaka. Ni sawa tunafanya dhambi mbalimbali kama waislam lakini nakushairi usijivunie dhambi hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kwenda Wilaya ya Kibiti Leo

    Hatari sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania OilCom Mabibo jipimeni kama mnayowafanyia wateja ni sawa!

    Kwa kweli hivi sasa imani yangu ipo GBP tena huwa naweka maeneo ya nyumbani mbagala tu. Inauma sana tena sana uweke vijimafuta vyako vya 20000 na umeshafanya makadirio yako kisha matarajio yanakuwa sio. Ni heri nipotezee hiyo 20000 kuliko kuibiwa kwenye mafuta.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbinu zitumikazo kuiba pesa nyingi kwa kudukua taarifa za mashine ya ATM

    Mada nzuri sana, tunahitaji mada kama hizi zinajenga mno
  5. J

    JamiiForums Tanzania CRDB Is this stupidity or lack of caring?

    Haya yote ni shida ya sisi watanzania kutopenda kufanya kazi. Inakuaje mfanyakazi wa crdb kitengo cha huduma unashindwa kumsaidia mteja juu ya shida ambayo kila siku ndio kero unazoletewa kwenye meza yako?. Hatutaki kuvishughulisha vichwa vyetu, hatutaki kujifunza vitu vipya, hatuna mahaba na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kama ulizaliwa baada ya mwaka 1995 haya mambo yalikupita

    Aisee nimecheka balaaa...huyu jamaa aliyeandika hii kitu ni kiboko kwa kumbukumbu
Back
Top Bottom