Kama ulizaliwa baada ya mwaka 1995 haya mambo yalikupita

Kucheza kamari ya mabetri na gololi,mpira wa visoda,nduti,kuendesha ringi na magari ya waya,box na mbao,kushinda kukojoa mkojo mrefu,dobo dunda au tobo dunda,mchezo wa wali na nyama mnaweka kimlima cha mchanga na kijiti katikati mnaanza kuupunguza mchanga olewako ukiangushe kijiti ni mkong'oto mpaka ukimbie kushika mahali mlipo pateuwa,kucheza sembo(mpira wa malailoni) mnatoka kilimahewa hadi nera au isamilo
Dah mkuu, kwenye kwenda kushika mti ni balaaaaaa, utapigia kweli kweli dah.
 
Nayakumbuka mafuta kupaka raise, bodyline ya chupa na ya kupikia ya mgando yaliitwa kimbo!
 
mkifunga shule sekondari unarudi kijijini unaonekana we ndio msomi na ukiongea kiingereza tu, kijiji chote wanakuheshimu
 
kumuwekea mwalimu wa kike au mwanafunzi wa kike kioo chini ya dawati lake, halafu unakaa pembeni unaona reflection yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom