Recent content by jnbg

  1. J

    NSSF si shwari; wananikata 10% badala ya 5%

    Jaman hou post ni ya zaman Sana,,,,nilishatoka Nssf tangu mwaka 2018
  2. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Havuti bangi mkuu,,,,nilichopendea Sana kwake kwa Muda wote tulioishi sijaona dalili ya cheating,,,hanywi pombe Ila Ana kiburi,dharau,kuomba msamaha ni kitu hajui Hata Kama KOSA ni lake,,,,,Nikimnunia kidogo kuonyeha nimekereka na yeye ananuna nisipojirudi mim NdO imetoka Hiyo!!!
  3. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Alivyonichukulia pesa mfululizo wakari nishamwambia ile ni pesa ya nini na kuichukua nilikasirika Sana,,,,,nikampigia baba yake usiku Kusa Nini huyu binti yako ananitania hivyo Kila siku?kila mwezi ni bora aende nyumban!!!! Baba yake kasema nimpandishe mwenye gari akiwa na watoto wake...
  4. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mkuu huo ushaur wako Nataka kuuzingatia Lakini nafsi inakataa Mana watoto nawapenda,,,Naona Aibu kwa jamii kuwa nimeachana naye Mana jamii ya kwetu na kazini inajua Mana ninaheshimika,,,,,sasa Hivi sijasema mahali popote namna yule mwanamke alivyonitenda,,,,mambo yote hayo imekuwa siri yetu...
  5. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Naomba ushaur wako boss kuhus post
  6. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Karb boss,,,Hali si hali
  7. J

    Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2. Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
  8. J

    Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Umewasahau wengine,,,, Umewasahau wengine,,,,,,,mbon wengi?????
  9. J

    Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Pole san P,,,,hukujua sisiem ina wenyewe
  10. J

    Hata $ ilipanda kama mafuta na haikushuka mpaka kesho! Mafuta sokoni ni 1,375

    Acha sisiem itunyooshe labda tutakaa vizur huko mbelen
  11. J

    Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Akil kubwa hii,,,tungekuwa na walau na watu wachache kam wew ccm haiwezi fanya inavyotaka!!! God bless you 🙌🙌
  12. J

    Tetesi: Freeman Mbowe kuhudhuria mkutano wa Uchaguzi wa Waziri mkuu wa Uingereza

    Nyie ccm mkoje jamn,,unawez kutoa kauli kam hii isiyo ya utu??Kwan ulimuumba wwe au Mungu???Tegemea kuwa mlemavu mda si mrefu!!!!
  13. J

    Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    Ccm mbon inahangaika na upinzan wakti wanainchi wanalilia Maisha magumu?? Kwan Mbeya huko Mafuta bei gani???CCM is now outdated political party
Back
Top Bottom