Nimeajiriwa mwaka 2015 na ilipofika mda wa kuchagua mifuko ya hifadhi ya jamii niliingia kingi nikachagua NSSF kwan agent wao ameniambia makato yote sawa na ya mifuko mingine lakini baadaye nikaona wanakata 10% of my salary instead of 5% as we agreed before,nikaanza kufuatilia na wamejibu kuwa tatizo haliko kwao ni HAZINA na wakaahidi kuwa wanalivalia njuga ila wapi mpaka leo.Sas najiuliza kwanini Nssf wakate wateja wao 10% na mwajir 10% ilihali mifuko mengine wanakata 5% na mwajiri 15%?Jamani huu si uonevu wakati mwajiri wetu ni mmoja?Naomba tubadilishane mawazo katik hili
NNawasilisha kwen wanajf
NNawasilisha kwen wanajf