Recent content by Jmwasele

  1. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Naomba muongozo wa kulipia, mkuu
  2. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu, itabidi kesho niilipie hii renewed
  3. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Aise! Na hii je itakua bei gani? Mpaka inanifkia? Nivumilie mkuu https://www.ebay.com/itm/Google-Pixel-2-XL-64GB-Just-Black-Unlocked-Smartphone/333177402698?pageci=c5a1f51f-6eaa-49e2-8b00-abfec7f52b0e&epid=239112736
  4. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu, sorry kwa kuchelewa, naomba unicomfirmie inakuja na accessories gani na kama sio ya Verizon
  5. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ni Brand new?
  6. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu, msaada, tafadhari. Kuna hizi simu Zinaitwa Google Pixel 2 XL naeza pata kwa bei gani nzuri?
  7. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    GOOGLE PIXEL 2 XL BEI GANI WAKUU?
  8. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania IPI simu yenye camera nzuri kuliko zote?

    Google pixel 2 na POCO F1 nazipata kwa bei gani mpaka zinanifikia?
  9. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kurecord screen kwenye tecno spark k7

    Imekuwa tatizo kivipi mkuu. Embu tujuze vizuri hapo
  10. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

    😂
  11. Jmwasele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani anajua kudai ukweni? Mama mkwe wangu anataka nimkopeshe pesa

    Nusu shali ni 250,000 kaka
  12. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
  13. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kuhamisha salio kwenda mtandao mwingine

    Shukrani mkuu. Ila namaanisha kurusha vocha yako kwenda namba ya mtandao mwingine. Je inawezekana?
  14. Jmwasele

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kuhamisha salio kwenda mtandao mwingine

    Waungwana. Naombeni msaada kunijulisha kama huduma hiyo ipo kweli na unaipataje
Back
Top Bottom