Recent content by jmwalu

  1. jmwalu

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Toyota Sienta inafika Kwa bei gani?
  2. jmwalu

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Mange kufanikiwa sana tu Tumeshuhudia maandamano makubwa ya polisi kila kona. Na kwa taswira hii watu wataandamana
  3. jmwalu

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Kwan hujawaona polisi wakiandamana huko mtaan
  4. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Hahahaaaaass umenipasua mbaya
  5. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Nimekielewa mkuu
  6. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Nimekuelewa vizuri mkuu, nimepata mtihani mkubwa sana maana ni kweli nampenda na ninataka kuona maendeleo ya mimba Kwa ujirani mkubwa lkn imeshindikana sasa
  7. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Nimekuelewa vizuri mkuu
  8. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Ananipa mtihani mkubwa sana
  9. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Ninaajenda hiyo Kabisa. Nimeshampangia chumba tayari namhudumia kila kitu, lkn sasa ni siku ya nne hataki kuniona eti
  10. jmwalu

    Nimempa ujauzito Hataki kuniona

    Jamani naomba mnisaidie, inawezekanaje binti ambaye umempa ujauzito ghafla anabadirika hataki kukuona Kabisa ni kweli nakuwa mhusika wa hiyo mimba au nakuwa nimebambikwa tu
  11. jmwalu

    Namna ya kuingia write protection kwenye flash GB 8

    Ninaomba wataalamu wa IT.. mnisaidie hapa. Kila ninapotaka kuongeza au kuondoa file kwenye flash yangu Aina ya Twin Mos, inakataa kwa kuniletea ujumbe... This devise is write protection. Na kila nikitaka kuitoa sipati namna ya kutoa. Nawezaje kuitoa? Maana hata kui format inakataa.
  12. jmwalu

    Natafuta gari aina ya Toyota liteace Noah ya mwaka 1997

    Njoo whatsapp mkuu Namba hii 0756358410
Back
Top Bottom