Recent content by Jmushizoo

  1. J

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Msada jamani application nzuri ya kudownload youtube kwa kutumia pc naomba link
  2. J

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Sawa bro fanya hivyo haswa kwenye search pale uki type inagoma ku search mfano uki search Yuda aileti kabisa moja kwa moja Na ile app. Nyingine iboreshe ipo vizuri sana
  3. J

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hongera sana robbyl hii app nzuri sana
  4. J

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Na mimi pia inanipa majibu hayohayo
  5. J

    Msaada juu ya kozi ya Bachelor of Arts in Library and Information Studies

    Ni kozi ambayo haina watu wengi sana kwahiyo nakushauri uisome tu, pia soko lake ni kubwa unaweza kuwa kama Librarian au Information officer au Record officer
  6. J

    Ushauri juu ya kuomba chuo kwa ngazi ya certificate

    Njoo chuo cha ushirika usome kozi yoyote unayoipenda wewe Uhasibu Utawala Utawala wa asasi ndogondogo za kifedha kama SACCOS, PRIDE, FINCA na MABENKI na Ujasiriamali Ada 700,000/= Kwa mwaka Hostel 240,000/= kwa mwaka Application Form 30,000
  7. J

    Waliomaliza form six wenye principle moja waje kusoma Chuo cha Ushirika Moshi

    Na wengine tu wenye principal moja na kuendelea ambao hawezi kujiunga na degree moja kwa moja
  8. J

    Waliomaliza form six wenye principle moja waje kusoma Chuo cha Ushirika Moshi

    Principal yeyote isipokuwa principal ya masomo la dini
  9. J

    Waliomaliza form six wenye principle moja waje kusoma Chuo cha Ushirika Moshi

    1. Diploma in Co-operative Management and Accounting (DCMA) 2. Diploma in Business Information and Communication Technology (DBICT) 3. Diploma in Enterprise Management (DEMA) 4. Diploma in Library and Archival Studies (DLAS) and Diploma in Microfinance Management (DMFM)
  10. J

    TCU wameshatoa guide book 2016/17?

    Mkopo hapo sijuwi ila unaweza kujaribu. Ingawa wameshaweka vigezo vyao ni Sciencies Doctor
Back
Top Bottom