Msaada juu ya kozi ya Bachelor of Arts in Library and Information Studies

0909Hekima

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
229
65
Wana jamvi habari zenu. Naomba kufahamu kwa mwenye ujuzi juu ya kozi hii mbali na masuala ya library ni kitu gani pia unaweza faidika nacho kama utasomea hii kozi?

Bachelor of Arts in Library and Information Studies.

Natanguliza shukran.
 
Ni kozi ambayo haina watu wengi sana kwahiyo nakushauri uisome tu, pia soko lake ni kubwa unaweza kuwa kama Librarian au Information officer au Record officer
 
Ni kozi ambayo haina watu wengi sana kwahiyo nakushauri uisome tu, pia soko lake ni kubwa unaweza kuwa kama Librarian au Information officer au Record officer

Mambo ya records mgt ndio yanaingia kwa pamoja?
 
Hio kozi ni shavu kama utaimudu vyema,ukiidungua first class ama upper second ya 4.x waweza omba kazi hapo hapo chuoni kwenu ukawa staff! Haina jam sana na pay yake ni nzuri!
Pia una option ya kwenda kwenye mashule makubwa ukaombe kazi ya ukutubi ambapo pay yaweza kuwa nzuri pia!
 
Shukran kwa ushauri mkuu kwa mawazo yako...

Hio kozi ni shavu kama utaimudu vyema,ukiidungua first class ama upper second ya 4.x waweza omba kazi hapo hapo chuoni kwenu ukawa staff! Haina jam sana na pay yake ni nzuri!
Pia una option ya kwenda kwenye mashule makubwa ukaombe kazi ya ukutubi ambapo pay yaweza kuwa nzuri pia!
 
xory nilsahau bn princ cku analyze hix.pass za olevel 2013 amesom.general agricatural nw kamalz certficate je akimalz dplom kwa hizo pass mark ataend university ata kama kapata GPA 3.5
 
Back
Top Bottom