mkuu umenena! chama lazima kichukue hatua kali ili iwe fundisho!kama watu wanamfuata mtu na wao waliwe vichwa! kinyume na hapo ni sawa na una malaria halafu hunywi dawa unategemea nini!
Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana" (Mithali 18:22; 19:14).
Mwanamke wa siku hizi (my opinion) hawana busara, unakuta kama umerudi home unakuta kanuna tu au ukimsemesha kama umechelewa toka kwenye mishemishe zako hata kama ulimpa taarifa ni kununa tu. Yaani kimsingi hawaeleweki kabisa...
Naanza kwa kusema
"Si vema huyu mtu awe peke yake", na kwa sababu hiyo Mungu aliweka ndoa (Mwanzo 2:18-24). Kwa hiyo,"Apataye mke apata kitu chema; naye ajipatia kibali kwa Bwana . Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana" (Mithali 18:22; 19:14).
Mwanamke wa siku hizi (my opinion) hawana busara...
Kwenye baadhi ya vituo vya mafuta hapa dar wanachakachua pump bei inaandikwa sawasawa mfano 1993 tsh kwa lita ya petrol. Chukua mfano umenunua mafuta ya 15000. Hizo pump unakuta inaandika kwenye lita ulizonunua 7.52 wakati ilitakiwa iwe 7.53 kwa hiyo unakuwa umeibiwa shiling tatu kwa kila lita...
kijana hilo ni jambo la kwaida kuwa na fear what byou have to do is to think of your role model like obama or oprah and then it is done. utakuwa na confidence ya kufa mtu lakini ucisahau what you are talking about!!
48. Theprinciple act is amended by repealing section 18 and substitung for it the following new sections
RECOVERY OF CONTRIBUTION CAP 33
18.(1) Every statutory contribution due to the fund may be recovered by way of summary suit underorder XXXV of civil procedure code at any time after the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.