Kwenye baadhi ya vituo vya mafuta hapa dar wanachakachua pump bei inaandikwa sawasawa mfano 1993 tsh kwa lita ya petrol. Chukua mfano umenunua mafuta ya 15000. Hizo pump unakuta inaandika kwenye lita ulizonunua 7.52 wakati ilitakiwa iwe 7.53 kwa hiyo unakuwa umeibiwa shiling tatu kwa kila lita.
Mwenye kituo akiuza mfano lita million 5 ameshaibia watu shillingi million 15. Ukitaka kuprove ninalosema nenda kwenye kituo nunua mafuta halafu fanya simple calculation utaona.
Hivi weight and measures hawafanyii ugezi (calibration hizo metering pump za mafuta?) wananchi kuweni makini na huu utapeli mpya