Atoke tu,na jeshi likiona bado anakomaa limtie viboko kwanza,inakuwaje mtu hataki kuachia madaraka,uwezo wa kuongoza umeisha ,anaongozwa na mke wake alafu wazimbabwe waendelee kulea ujinga.Mwalimu na Mandela anawaona kuwa yy anathamani kuliko wao??Asipojiheshimu atacharazwa viboko kwanza.
Muro anashindwa kupambana na hali yake ya kufukuzwafukuzwa kazi ,anaanza kujifanya kuwa yeye ndiye msemaji wa serikali,akumbuke kuwa serikali si Yanga alikokuwa anaropoka tu.
Baba yako mzazi tumuenzi kwa lipi,mbona na yy hutaki kumzungumzia unawataja baba za wengine,je hakuna la maana ambalo alikufanyia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelewa kutawaliwa,hapo mtoa hoja amewalinganisha watu wawili tofauti,yaani national figure na district figure,hawaendani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa mbovu anavyowaumbua simngeisha mfunga nyie, anatumia kisomo chake cha sheria,nyie mnatumia siasa sio shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.