Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Ni aibu na Fedheha kuipenda CHADEMA

Sijawahi kukubaliana na matokeo ya tafiti za TWAWEZA,lakini matokeo ya utafiti wao wa hivi karibuni na aina ya hoja ziletwazo na "makinikia" ya Lumumba,nashawishika kuyakubari matokeo ya utafiti wao yaliyosema kuwa ccm inakubalika zaidi miongoni mwa jamii za wajinga,wapumbavu,wavivu wa kufikiri na watu duni kabisa wawezao kurubuniwa kwa kupewa kipande cha khanga na sinia la ubwabwa.

Upumbavu na umasikini wa watanzania walio wengi ndiyo mtaji wa ccm na serikali yake.Akili zilizoathiriwa na vumbi la makinikia,haziwezi kamwe kufikiri sawa sawa zaidi ya kuishia kupiga makofi na vigeregere kwa kila upuuzi utakaoibuliwa na wanaojiita viongozi.

Hivi wanaojiita viongozi ambao wametokana na kuchaguliwa na aina ya watu kama huyu mleta mada,hawaoni aibu kujiita viongozi?Ni fedheha sana kujiita kiongozi huku uongozi wako umeupata kwa kuchaguliwa na watu wenye nakisi ya ubongo na wanaofikiri kwa kiwango hiki cha mleta mada,hii ni aibu sana.

Kiongozi aliyechaguliwa na mazezeta wa aina hii hawezi kubeba matamanio ya watanzania katika kufikia Maendeleo ya kweli,ataishia kupiga sanaa tu kwa sababu anaamini "misukule" anayoiongoza haiwezi kuhoji chochote zaidi ya kuishia kukenua meno tu na kumjambia.
Kwelikweli

In God we trust
 
Chadema kimopoteza mwelekeo.....najua mtaishia kututukana ila mtakuja kurijua hilo baada ya matokeo ya uchaguzi 2020
 
Ufisadi umetamalaki
Uchochezi umekithiri
Uongo umekolea
Utapeli umepitiliza
Utetezi wa Wazungu umeshika mizizi
Urichmond umeota mizizi
Ushindwaji wa chaguzi umezoeleka.
CHADEMA NI AIBU.
Wewe ni inzi mwenye kipindupindu
 
Ilikuwa ni ujinga na upumbavu kuamini kwamba CCM ingeondolewa na Makapi yake 2015. Hiyo haitatokea tena labda 2055.
Akili za KIMAKINIKIA hizo na ndiyo mtaji mkubwa wa ccm

In God we trust
 
Chadema iliyokuwa tumaini kwa wanyonge iliondoka na dr slaa, hii ya sasa ni Mungu mwenyewe anajua

Mbona hakumpa Dr Slaa URaisi kama ndiye alikuwa tegemeo Maana chadema iliwapa fursa ya kumchagua acheni hadaa!
 
Sijawahi kukubaliana na matokeo ya tafiti za TWAWEZA,lakini matokeo ya utafiti wao wa hivi karibuni na aina ya hoja ziletwazo na "makinikia" ya Lumumba,nashawishika kuyakubari matokeo ya utafiti wao yaliyosema kuwa ccm inakubalika zaidi miongoni mwa jamii za wajinga,wapumbavu,wavivu wa kufikiri na watu duni kabisa wawezao kurubuniwa kwa kupewa kipande cha khanga na sinia la ubwabwa.

Upumbavu na umasikini wa watanzania walio wengi ndiyo mtaji wa ccm na serikali yake.Akili zilizoathiriwa na vumbi la makinikia,haziwezi kamwe kufikiri sawa sawa zaidi ya kuishia kupiga makofi na vigeregere kwa kila upuuzi utakaoibuliwa na wanaojiita viongozi.

Hivi wanaojiita viongozi ambao wametokana na kuchaguliwa na aina ya watu kama huyu mleta mada,hawaoni aibu kujiita viongozi?Ni fedheha sana kujiita kiongozi huku uongozi wako umeupata kwa kuchaguliwa na watu wenye nakisi ya ubongo na wanaofikiri kwa kiwango hiki cha mleta mada,hii ni aibu sana.

Kiongozi aliyechaguliwa na mazezeta wa aina hii hawezi kubeba matamanio ya watanzania katika kufikia Maendeleo ya kweli,ataishia kupiga sanaa tu kwa sababu anaamini "misukule" anayoiongoza haiwezi kuhoji chochote zaidi ya kuishia kukenua meno tu na kumjambia.
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wameishiwa hoja wamebaki kuchochea na kuropoka tu.HAPA KAZI TU.
 
Elimu bure imewashinda
Viwanda vimewashinda
Kutoa ajira bado mnafail
Makinikia movie bado inaendelea
Ukabila ukanda udini vimesheni
Polisi ndo balaaa wamejigeuza green guard(nyambafu)
Mkiru kumewashinda (aibu)
Akili za maccm ni kama kfurushi cha jaza ujazwe
Maisha yamekuwa magumu wananchi wanapiga laka moja tu

Kweli naungana na Twaweza wanaopenda CCM ni masikini wa fikra masikini wa akili na hawa ndo wanafanya nchi yetu iwe masikini kwa kiwango hichi kwa sababu CCM wana watoto lazima warithi tabia za wazazi wao ni unafiki tuuuuuuu
 
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo inayoamini kuwa hawakutendewa haki ilikuwa na wajibu yenyewe kuwashtaki waliowaonea.Kama wanaweza kujitetea katika maeneo mengine wanayoamini wanaonewa na wanpata ushindi mahakamani nini kiliwazuwia katika hali kwenda mahakamani?

Baadhi ya vijana hao wanaotetewa kuwa walionewa mmoja wao alionewa zaidi kiasi cha kufukuzwa nchini.Waajiri wake walikuwa na jukumu la kumasaidia kupata haki yake mahakamani ili arudishiwe " utanzania wake".
Unafikiri mfumo wetu wa utoaji haki unatenda/ungetenda haki kwa hili?

Pia tija gani ingepatikana ikiwa Rais akishatangazwa matokeo hayahojiwi?

Mwenye akili akipima n.a. kujiridhisha hasara ni kubwa kuliko faida hawezi kung'ang'ania kitu anaacha! Busara inatawala.

Kumbuka pia mashitaka mengine yanategemea "ridhaa"ya mamlaka zingine ili yasimame. Swali: mamlaka hiyo ingetoa ushirikiano?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom