Recent content by jme

  1. J

    JamiiForums Tanzania If DGTISS, IGP, DCI decides not to show up itakuaje?

    Yes wasipofika kwa hiari watalazimishwa kufika Kwa lazima
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Uzi wa Manyanza mmeshauunganisha na Uzi wa Waufukweni ambaye haleti updates yoyote?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: John Heche ameanza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Uache kuwa unaanzisha mada wakati hauna updates na kama wewe ni Mfanyakazi wa JF basi lete updates sio kuamzisha tu mada alafu hauna content
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

    Tunataka watu majasiri kama hawa wanaoweza kusimamia ukweli hata kama itabidi kufa kwa ajili ya kusimamia ukweli. Watu wa aina hii ni wachache sana duniani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

    Ni hatari labda kama Mwingulu atakuwa Makamu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Japo bado siamini, hadi itolewe na taarifa ya Ikulu, ila kama ni kweli, basi VP tumpe mkwe ili 2030 awe na VP wake yule binti yetu, 2040 binti apokee

    Pascal Mayalla lakini si ulimwambia britanicca jana ikiwa kweli safari hii hamtakubali patachimbika ? Haya tunasubiria kuona
  7. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Mmmh hii barua au wanapima upepo?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwamba muda kadhaa jela au faini kiasi fulani?

    Kwa hiyo unamanisha hukumu itatoka hakuwa na kosa bali viashiria vya kosa hivyo Mahakama inamhukumu miaka kadhaa jela au faini ya kiasi Fulani?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nchemba ?

    Kuna nini tena?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka Wizara ya Elimu

    Hii imekanushwa sio ya kweli
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Mbona hajaweka bayana sababu za Msingi za kupiga marufuku Mikutano ya kisiasa na je ametumia mamlaka gani kuagiza hayo?
  12. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Amevipiga vita vilivyo vizuri mwendo ameumaliza imani ameilinda pumzika kwa amani Baba
Back
Top Bottom