Recent content by Jmarwa70

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli kanisa la Gwajima ndo lenye waumini wengi Tanganyika?

    Kwanza gwajima ana kanisa au uwanja??
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli kanisa la Gwajima ndo lenye waumini wengi Tanganyika?

    Hakika u msukule wa gwajima
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atembea tena baada ya kupooza

    Zinzi kubwa hilo roho wa bwana yu juu yake yy YESU?au mtoa mada u mmoja wa misukule yake? Maana huwezi leta habari ya jitu kama hilo unafananisha na Yesu,ulishasikia askofu au mchungaji mwenye akili timam akajilinganisha na Yesu?au huelewi yy alisema ni Alfa na Omega?sasa roho ya bwana I juu ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mh. Komba alitabiri kifo chake?

    Nadhani uongozi ni utashi.binafsi sidhani kama walio ccm wote ni wadhambi na walio cdm ni wasafi,kila binadam anatamaaa ya kula hasa anapotengewa na kuona ufree upo,tumeshuhudia Libya na kwingineko.kikubwa ni kupata kiongozi mwenye uchungu na nchi na wananchi wake.hatuwezi kukaa na kusubiri...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Kanisa Katoliki Tanzania kwa kazi ya WITO

    Anaongea Tope la kambale Escrow alipewa askofu msaidizi tena million 80,pesa ambayo haitoshi hata kwenye ujenzi wa kibanda changu,kanisa halitegemei pesa chafu za kishetani,kanisa halipo kudhurumu,nikusaidie tuu sadaka ya Juma1 ni zaid ya milion4×4juma(means 1 month=16ml hiyo ni one month...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Escrow, Kanisa Katoliki limejifedhehesha

    Yakupasa ufaham kanisa catholic hiyo shilingi million 80 ni pesa ya mchango wa sadaka kwa muumini mmoja mwenye mapenzi mema na Muumba.wewe unayeshikia bango kudharirisha kanisa kwa kuliingiza ktk laana hii sidhani kama uko sahii.nimekupa mfano maaskofu ni wangapi?majimbo ni mangapi?then ujiulize...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Escrow, Kanisa Katoliki limejifedhehesha

    Mtoa mada anatakiwa atambue kanisa lina maaskofu wangapi na sio kukurupuka kisa anataarifa za askofu mmoja tena msaidizi.pumba za kupindukia unapost
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana, nimemuona Mchungaji Mbasha (Mme wa Frola Mbasa)

    0767113436 please mkuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukeketaji: Mila isiyochuja Tarime

    Hili zoezi naona la kuutafuta mkesha maana duh!! Hii mada imetwishwa like jiwe la kusagia na watu kufungwa kisha kutoswa baharini.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukeketaji: Mila isiyochuja Tarime

    Tatizo kakodolea macho TARIME na wakati zipo sehemu nyingi,au kwa sababu ndio kitovu cha ghecha ghecha?Muraa!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukeketaji: Mila isiyochuja Tarime

    Hana adabu kapisa SINGIDA,SAME,MANYARA,Na kwingineko haoni anangangania Tarime tuuu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Ufunguzi wa VPL 2014/15 Yanga SC vs AZAM FC

    Haswaaaa huyo Okwi ni tapeli Wa kiaiana
Back
Top Bottom