Yakupasa ufaham kanisa catholic hiyo shilingi million 80 ni pesa ya mchango wa sadaka kwa muumini mmoja mwenye mapenzi mema na Muumba.wewe unayeshikia bango kudharirisha kanisa kwa kuliingiza ktk laana hii sidhani kama uko sahii.nimekupa mfano maaskofu ni wangapi?majimbo ni mangapi?then ujiulize catholic church inajihusisha na siasa na utamke ni wangapi umewasikia wakiingia ktk siasa za ndani kiasi cha kupokea pesa ashawishi waumini.wapinga escrow ni pamoja na wacatholic,wakosoa serikali ni pamoja na wacatholic ukifuatilia.sasa wewe usilichafue kanisa kwa askofu wake.na kanisa halina shida ya million80 ilisaidie nini??tamaa za mtu binafsi zisihusishe billions of catholic converts