Recent content by Jmalando

  1. J

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Wewe mbona unabwabwaja sana kwani wew ndiye hakimu uliemuhukumu mubibi wa watu!? Hoja siyo msumeno au mukisu wa sheria, hoja ni kwa nin vyombo vya dola vinashughulika wa watu wenye makosa madogo kama hayo ya mubibi wa watu na kilo tisa(9) za nyama ya swala ambayo hata haifiki thamani ya milioni...
  2. J

    Sijui ni utandawazi, mmomonyoko wa maadili ama ni ushamba wangu

    Nimecheka kwa sauti[emoji28][emoji12][emoji23]
  3. J

    Nitapataje nyumba ndogo anidekeze?

    Ati...ninyi wenyewe hamjui mnataka nin kutokana na wingi wa munavyohitaji.
  4. J

    Nitapataje nyumba ndogo anidekeze?

    [emoji3][emoji2][emoji3][emoji2] nimecheka sana koment yako.
  5. J

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Jamani Temeke bado sijaona mwenye kuiona tafadhari atupie hapa
  6. J

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mbona hapo kwenye pdf ya Mkalama inaonesha wasimamizi wa Usaili watakuja ni Wakuu wa shule na Maafisa Elimu wa Kata
  7. J

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Fafanua vzr mkuu, Kwamba Kata ndiyo watatoa majina kwa nbs badala ya nbs ndiyo wawape majina Kata kwa hoja kuwa ni ili nbs wajiridhishe kuwa muombaji ni mkazi wa eneo husika. Mkanganyiko wangu ulipo ni kwa nin nbs wawe na mashaka na muombaji kuwa mkaazi wa eneo husika haliyakuwa wakati wa...
  8. J

    Nafikiria kubadilisha jina langu la ukoo, nataka liwe "MAGUFULI"

    Hata shetani pamoja na maovu yake yote lakini kuna wafuasi wake ambao hawapendi kusikia hata ovu lake moja.
  9. J

    Airtel wameshusha bei za vifurushi?

    Bundle 4G likoje? Naomba kueleweshwa make mim najiungaga tu hata sielewi.
  10. J

    The truth behind Muammar Gaddafi death

    Acha kujidanganya mzee Putin sahv ana behave kama watu walio panic hawaelew wanaongea nn
  11. J

    The truth behind Muammar Gaddafi death

    Budda kasome buddapest memorandum au lisobon agreement plus denuclearization after the fall of USSR 1991 kaangalie nan alikua na siraha nying Kati ya ukraine na Russia na angalia nini kilitokea kwa silaha za ukraine! Hio Sarmat ni ICBM tu mzee improvement ni uwezo wa kubeba nuclear heads but...
  12. J

    The truth behind Muammar Gaddafi death

    And for what purpose!? What did NATO gained on that?!
  13. J

    The truth behind Muammar Gaddafi death

    Hilo soma sikulielewa mkali hata sielew wap natakiwa kuweka stop wala comma
Back
Top Bottom