www.vanforumtz.com
Sa mbona anajiita nguvu jike?Mbona wanawake tupo wengi tu..,
[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2] nimecheka sana koment yako.Vingi....
Pesa, care, kupendwa, kutmbw vizuri, zawadi
Kwakifupi ni vingi hadi wenyewe hatujui tunataka nini
Ati...ninyi wenyewe hamjui mnataka nin kutokana na wingi wa munavyohitaji.[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2] nimecheka sana koment yako.
Itakua anahitaji mpenzi yeyote yule atakae patikana haitaji jinsiaSa mbona anajiita nguvu jike?
Ukiona wadosi duka halijafunguliwa mpaka saa 3 asubuhi ndio ujuwe muda wao wa kuchapana na kubinuwana, watoto wanakuwa wameshaenda shule.Habari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele sijui hata nitapataje nyumba ndogo inipunguzie mawazo bila yeye kujua.
Ndoa zetu hizi ni shida kweli, unakuta umechoka kupambania familia...lakini hupati hata meseji ya nimekumiss....ili utamani kuwahi kurudi nyumbani...ukifika yaani ni kama tu dogo fulani karudi...kitandani kila mtu upande wake...ukigusa huo moto utakaoupata...Habari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele sijui hata nitapataje nyumba ndogo inipunguzie mawazo bila yeye kujua.
Njoo Tabata
Vingi....
Pesa, care, kupendwa, kutmbw vizuri, zawadi
Kwakifupi ni vingi hadi wenyewe hatujui tunataka nini