Recent content by JLB

  1. J

    Natafuta binti wa kudate naye, aged 20's in Mwanza

    I am in Mwanza right now, natafuta binti aliye around Mwanza for dating ..... awe around 20's .... kama hujaupenda ujumbe usitukana bt u may criticize coz critics are not book writers. au weka namba yako nikucheck
  2. J

    Je CHADEMA hawana watetezi wa chama Mikoani mpaka akina MBOWE, SLAA na LISSU wanazunguka kwa CHOPA?

    NDUGU zanguni; si kweli kwamba operesheni za chama zilisimama ... juzi tumesikia viongozi was chama kagera wameahirisha shughuli za ujenzi was chama kwa ajili ya mapokezi ya operesheni hii. Aidha imewekwa bayana kwamba viongozi ngazi zote wakiwamo wabunge watashiriki .... lakini tujiulize kina...
  3. J

    Brothers and sisters; nisaidieni kimawazo mimi pamoja na rafiki zangu

    Shukrani sana mkuu.......duniani tupo wengi ili kusaidiana mawazo pia,,,,,,,,ahsante sana.........
  4. J

    Brothers and sisters; nisaidieni kimawazo mimi pamoja na rafiki zangu

    Nimehitimu, na nimefaulu vizuri tu......perfomnce yangu ni 4.0 GPA kaka
  5. J

    Brothers and sisters; nisaidieni kimawazo mimi pamoja na rafiki zangu

    Ndugu zangu, nimejaribu kukaa na hili moyoni lakini sasa nashindwa kuvumilia. Mimi ni mhitimu wa shahada ya takwimu ya chuo kikuu. Niliapply polisi nikiwa chuoni, baada ya jeshi la polisi kuomba vijana wa taaluma fulani kutoka vyuo vikuu. Jina langu limetoka kuitwa kwenye usaili, na tarehe 19...
  6. J

    Brothers and sisters; nisaidieni kimawazo mimi pamoja na rafiki zangu

    Ndugu zangu, nimejaribu kukaa na hili moyoni lakini sasa nashindwa kuvumilia. Mimi ni mhitimu wa shshada ya takwimu ya chuo kikuu. Niliapply polisi nikiwa chuoni, baada ya jeshi la polisi kuomba vijana wa taaluma fulani kutoka vyuo vikuu. Jina langu limetoka kuitwa kwenye usaili, na tarehe 19...
  7. J

    CHADEMA...mbona mnameza matapishi??

    Lakini sidhani kama ni busara kuja humu kwa ajili ya kutetea vyama....we need to be free thinkers
  8. J

    CHADEMA...mbona mnameza matapishi??

    Nilimsikia Dr. Slaa mkuu nadhani ilikuwa ni BBC...........by the way hakuna haja ya mabishano lakini CHADEMA inasumbua sana watu....? Mbona inajadiliwa sana.....? kwa nini tusijadili kuifanya F ianzie 49 kwenda chini kama Kenya, Burundi etc.....na si kila kinachosemwa na chama kinasemwa kwenye...
  9. J

    CHADEMA...mbona mnameza matapishi??

    Nisingependa kuleta malumbano, wala kutetea vyama: they are just vehicles whose passengers have different characters. Lakini labda...kwamba CHADEMA inapoteza wanachama wengi kuliko CCM...........nitafanya utafiti
  10. J

    Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    Brother, i concur with you to a greater extent but i beg jf members to be very keen when analyzing political issues which are the beginning of our economic growth. I wonder why most of us analyze this issue based on our political ideologies n stands. We are demarcating our thoughts too much just...
  11. J

    CHADEMA...mbona mnameza matapishi??

    Ndugu yangu katika hili sidhani kama uko sahihi......CHADEMA walishatoa msimamo kuwa to them "KIKWETE is the legal president but an illegitimate one" na kwa katiba tuliyo nayo Rais akiisha kutangazwa hakuna kupinga kwenye vyombo vya sheria......hivyo wanalazimika kufanya naye kazi
  12. J

    Lema na wenje na kundi la waabudu watu, hata wakiaminishwa kuwa kuua ndio suluhu wataua

    Ndugu yangu, kitendo tu cha kusema Shibuda alihofiwa kwa nafasi ya uenyekiti kimeshusha imani yangu kwa uzi wako kabisa..........alafu hujatoa tangible evidence kuonesha ni kwa nini Lema na Wenje hawakijui chama. Mbona Tundu ni mgeni lakini kwa maoni yangu ni mbobevu kuliko wengi aliowakuta...
  13. J

    Zitto amshukia Lema kuhusu Posho

    Ikiwa Zitto hapokei posho ya 70000 lakini ya ile 700000 - 1000000 kwenye mashirika anapokewa, analipiwa ticket ya ndege na gharama za four star hoteli basi ni mnafiki. Kama hazipokei pia, ni mtu mwema.
Back
Top Bottom