Recent content by Jkalevela

  1. J

    JamiiForums Tanzania Akili bila hatua ni uwezo unaooza ndani ya kichwa chako

    Weka namba hapa upate hata ya ahsante mkuu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kuingia kwenye ndoa...

    Nna jamaa zangu kama wawili,wake zao wote wanachapiwa,ila sababu kuu ni pesa tu, kwaiyo hili umesema kweli
  3. J

    JamiiForums Tanzania Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

    Iran kaufyata,ni wapumbavu tu na wasiotumia akili ndio watazan Iran imeweka masharti
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kwanza utambue Yesu sio Mungu na ndiomaana alikufa,Mungu hawez kufa,pili pasaka sio kufufuka Kwa Yesu,Pasaka ilianziishhwa pale Misri baada ya pigo la kumi ambapo nyumba isiyokuwa na damu mlangon mzaliwa wa kwanza anakufa, waisraeli hawakupata huo msiba hivyo wakaagizwe wawe wanaadhimisha hiyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Prophet IPM anahubiri injili gani?

    Huyu jamaa hata mimi niliishamshtukia,hakuna ukristo wowote anaoufundisha,nikikuta clip zake namchukuliaga kama content creator au mchekeshaji tu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Wanajeshi wengi zaidi ya asikimia 90 ni wakristo,raia zaidi ya asilimia 70 ni wakristo,take care
  7. J

    JamiiForums Tanzania Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

    Ndiyo yeye alienda tu kuharibu site za Nuclear weapons kama mwenyekiti wa umoja wa usalama wa dunia,lakini saizi atarudi kama U.S.A rasmi kujibu mashambulizi dhidi yake
  8. J

    JamiiForums Tanzania Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

    Kama kweli yamerushwa basi marekani amepata sababu ya kushinda Iran masaa 24 akiteketeza
  9. J

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Acha uchawa basi mkuu,mwanamke hakuumbwa kuja kumuongoza mwanaume katika ngazi yoyote Ile
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Natumaini wewe ni mkristo na unafaham tangu ngazi ya familia mwanaume ndiyo kichwa au kiongozi,hata lile lililokuwa taifa teule zamani hawakuwai kuwa na mkuu wa nchi mwanamke,haya ya leo ni kukengeuka tu Kwa binadam,ila kama ambavyo binadam hana uwezo wa kupaa angani ndivyo mwanamke pia hana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jua mgogoro wa Iran vs Israel chanzo chake

    Hapa nimeelewa vzur sana, nashukuru sana mkuu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mikoa au wilaya ambayo waislamu ni wengi kuna ustaarabu mwingi sana? No vibaka,wizi,mauaji n.k

    Mtwara ilipewa hadhi ya mkoa lini. Na Njombe imeanza kuwa mkoa lini? Kwenye maendeleo mikoa inayoongoza ni ya wakristo mfn Mwanza,Arusha,Mbeya
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

    Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukiona mnataniwa basi mnapendwa na mpo fair,utani ni sehem ya maisha yetu,nyinyi ni kabila kubwa na lenye nguvu katika nyanja zote,usiichukulie seriously mkuu, mbona Kuna watu wanaambiwa wanakula mbwa na hwamind wanajua ni utani tu
Back
Top Bottom