The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything -ALBERT EINSTEIN,,,,so watanzania tumechoka hatuko tayari kuendelea kuangalia ccm ikiharibu nchi yetu
ulikariri vibaya we gamba,,,alisema chadema haitapokea wanachama toka ccm dakika za mwisho wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi baada ya kutoswa ccm.
umenikumbusha mkuu huwa wanajifanya wamesahau,,,,,ilani imetekelezwa kwa 5% sio 90% kama wanvyodai, kama wanabisha wacheck hii list ya ahadi,,,najua nyie wapambe wa ccm huwa mnapita humu
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga...
atekeleze ahadi zake ndio tunachotaka,,tunazikumbuka sana
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa...
hii ni kuthibitisha watanzania wote wameikubali chadema,kila chama cha siasa kikiwemo ccm(magamba) wanahangaika kutafuta wanachama wapya ambao tayari ni chadema ,big up m4c somo limeanza kuelewa.
eti wewe ni senior member wa greater thinker you not serious,umekaa kwenye laptop yako ukaona hiki ndio cha kuandika humu kwenye jf nafikiri umekosea habari kama hii ya uzushi isiyo na mbele wala nyuma zinapatikana kwenye magazeti ya udaku sio hapa think again,,,huwezi kuleta uzushi wowote hapa...
siasa sio uadui ,sisi sote ni watanzania na nia yetu ni kuleta maendeleo katika taifa letu japo tunatofautina we ccm fisadi mimi mzalendo mpenda maendeleo chadema,wewe unayetaka mnyika na jk wasielewane kisa vyama tofauti utakuwa hujui maana ya siasa, ni lazima utakuwa kati ya maccm (magamba)...
hii kiboko wanyama hai wamesafirishwa watu wameona live mkurugenzi kakata rufaa kashinda,,swali alikata rufaa kwamba wanyama hawajasafirishwa au yeye hahusiki?,,hii ndio tanzania,,,na kesi imeisha,,,halafu kuna watu wana akili fupi watajitokeza humu na kuanza kutetea hii system ya ccm na...
sikubaliani na wewe hata kdogo,shule hazina walimu wa kutosha,madarasa hayatoshi,maabara hakuna usitegemee wanafunzi waelewe,shule ya wanafunzi 500, mwalimu mmoja anafundisha form1 mpaka form 4,au mwalimu mmoja anafundisha masomo zaidi ya moja,mwalimu mshahara mdogo moyo wa kufundisha hana,hana...
viongozi wa chadema walitoa namba ya simu ya spika na naibu spika(kama viongozi wa bunge) wa bunge la jamhuri wa muungano wa tanzania sio kama ana makinda na ndugai,,,,,,na hizo namba ziko kwenye tovuti ya bunge,,,so acheni kelele ujumbe umefika kwa wahusika maana hii nchi inaendeshwa kihuni
sasa wamethibitisha kwamba walitumwa na ccm,,,chochote walichokuwa wanasema ni uzushi,,,poleni sana,,,ni aibu sana mtu umesoma halafu unashindwa kutumia akili zako,,,,,unatumika..shame of u
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.