NAMLILIA AMINA!
Niliapo naliani, nalia nanyong'onyeka,
Machozi tele usoni, kisimama naanguka,
Hili ni balaa gani, wanandugu kutufika,
Majonzi mengi moyoni, namlilia Chifupa.
Miaka ya ishirini, thelathini hakufika,
Ajulikana nchini, tadhani alizeeka,
Asomjuwa ni nani, ni wengi...